Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
- #41
Sio rahisi mkuu. Mbona tumekwambia kama hujasomea hesabu za integration huwezi kuwa Tajiri namba moja duniani.Hivi Ronaldo kasoma shule ya digrii ?
Kwa uwekezaji wake haiwezi tokea akaja ajawa tajiri kipitia mtaji aliojikusanyia kwa miguu, kifua na kichwa
Miguu inaweza kuleta utajiri.
Nadhani Jordan ni bilionea .