Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Kusoma shule si hata aliyeishia darasa la saba nae kasoma? Fanya ufafanuzi hapo kwenye hesabu mkuuHuu ni ukweli tu ulio wazi.
Dunia itabaki kutawaliwa na wasomi mpaka Yesu anarudi.
Huwezi kuwa Tajiri namba moja duniani bila kusoma shule.
Katika dunia ya sasa usitegemee kuwa Tajiri namba moja duniani bila kujua hesabu.
Ukijua hesabu na kuzitumia kama zinavyotaka unaweza kuwa mbali na hapo sahau.
Meneja Wa Makampuni
Elimu yyte sio ILmuKusoma elimu ipi?
Elimu hii hii ya darasaniKusoma elimu ipi?
dah, CCM mitano tena uhakika.sometimes na ulozi
Basi hakuna tajiri aliyesoma elimu ya darasaniElimu hii hii ya darasani
Kuna mambo mengi yanayopelekea kuwa tajiri, ila kweli elimu ni mojawapoHuu ni ukweli tu ulio wazi.
Dunia itabaki kutawaliwa na wasomi mpaka Yesu anarudi.
Huwezi kuwa Tajiri namba moja duniani bila kusoma shule.
Katika dunia ya sasa usitegemee kuwa Tajiri namba moja duniani bila kujua hesabu.
Ukijua hesabu na kuzitumia kama zinavyotaka unaweza kuwa mbali na hapo sahau.
NIMEFUNGA UZI
Meneja Wa Makampuni
Tajiri namba moja duniani huwezi kuwa bila shuleBasi hakuna tajiri aliyesoma elimu ya darasani