Huwezi kuwa tajiri namba moja duniani bila kusoma shule


Wasomi wamesaidia Nini Tanzania
 
Kuna sehemu yeyote kwenye uzi ambayo nimekuambia nina cheti au nimekuambia kiwango cha elimu yangu ebu nionyeshe nasubiria
Kwenye mtitiriko wote wa huu uzi umeonyesha kwamba kwenda shule (na ukienda shule unapata cheti kuonyesha kwamba umehitimu)..., na mimi nimekuelezea tangia mwanzo elimu sio lazima uende shule na hata aliyekwenda shule elimu yake haikuanzia shule wala haitaisha siku anatoka shule..., vilevile kuna watu ambao hawajawahi kwenda shule ila katika field zao ni magwiji kuliko hata hao waliokwenda shule.... Kwahio the statement kwamba

Sasa wewe kama unajiona superior sababu una cheti kinasema wewe ni doctor wa kitu fulani na kudharau watu ambao wanafanya kitu katika industry yao kwamba unawazidi wakati wao wana experience na elimu ya hicho kitu kukuzidi wewe..., its being hubrus to say the least

Tafsiri yake ni kwamba kama wewe ni among ya watu ambao wanajiona wamefika sababu wana cheti fulani kuzidi wale ambao hawana hicho cheti lakini wanafanya wanachofanya day in day out ni kuwa na traits za extreme or excessive pride / dangerous overconfidence and complacency, in combination with arrogance.

Now if the cap fits wear it.......
 
Bill Gates alikua msomi hata kama hakumaliza chuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…