Mzawa_G
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 669
- 1,475
Kama ilivyo kwa vyombo vingine basi na hata rocket pia nayo hutumia engine ili iweze kufanikisha utendaji kazi wake na mara nyingi tumekuwa tukiziona tu nakuzichukulia kawaida sana bila kujua maajabu yake. Lile bomba pekeake bila engine bado alijakamilika kuitwa rocket kwani zile engine zinazomwaga moto nyuma ndizo zinafanya rocket ikamilike
Rocket ni miongoni mwa vyombo vyenye engine zenye nguvu zaidi duniani. Engine za rocket zinapowashwa ili kuweza kuinyanyua rocket kutoka ardhini, huzalisha nguvu ya Horse Power inayofikia million 30 mpaka million 40 (30,000,000 HP - 40,000,000 HP)
Kwa wale madereva wa maroli kusanya Scania 2000, Iveco 2000, Volvo 2000 na Mercedes 2000 zifunge kamba ziivute rocket kuizuia kunyanyuka kamwe Hazitoweza .
kumbuka haya maroli yetu Tz yanayo sukuma makontena huwa na Horse Power kuanzia 400 mpaka 700 hivyo unaweza kupiga hesabu mwenyew ni maroli mangapi yanaweza kufikia nguvu ya rocket moja.
Tambua kuwa rocket ikishawashwa basi huwezi tena kuizuia wala kuizima na hii ndio maana hata maandalizi ya safari za rocket huwa yanafanywa polepole tena kwa ustadi na umakini mkubwa sana ili kisije kikasahaulika kitu chochote
Nguvu inayoondoka nayo rocket hata gravity ya dunia yenyewe ambayo ndio hufanya kazi ya kuzuia kitu chochote kisitoke nje ya dunia nayo hubaki inashangaa kwani huzidiwa nguvu na kushindwa kuhimili kuendelea kuishikilia hivyo hujikuta inaiacha iende zake..(kinogesho)
[emoji419]Bob Lee KizighaView attachment 2688773