Huwezi kuzuia rocket kwenda kama tu ikishawashwa (full power)

Huwezi kuzuia rocket kwenda kama tu ikishawashwa (full power)

CHOMBO KIKIPITA KATIKA MATABAKA YA ANGA HEWA ZA DUNIA

FB_IMG_1689524502377.jpg

Chombo cha Orion kikioneka kikikatiza katika matabaka mbalimbali ya dunia yetu wakati wa kurudi duniani kutokea katika safari za anga za mbali

Chombo hupitia katika hali ngumu sana ya joto kali linalopeleka kuwa moto mzito sana na kumbuka kadri chombo kinaporudi kutokea safari za mbali basi ndipo hatari ya chombo inavyokuwa kubwa sana kwasababu kadri unavyotoka mbali ndipo hutumia muda mrefu sana katika kupita kwenye matabaka mazito haya ya hewa na ndipo joto linavyokuwa kubwa sana na kupelekea moto mzito

Kikawaida kwa watu wanaotoka katika kituo cha anga za mbali hutumia kiasi cha dakika 4 kuweza kumaliza kupita katika hali hii mbaya mpaka kufika chini duniani

Gamba gumu linahitajika ili kuweza kukabiliana na hali kubwa ya joto kali sana kumbuka Material yanayotengeneza gama hili gumu huwa ni material ya carbon ambayo ni magumu sana kuruhusu joto kupita

#AstronomyKiswahili
 
HVi
Mada kama hizi unawachosha watu ambao mkataba wa DP world mpaka wale waliopo serikalini hawafahamHVi
Hivi ww kaka pepo,hebu kakaako hawezi fanya jambo bandari isiuzwe maana na ww unalalamika kama sisi,sasa kuwa pepo kunakusaidia nn sasa Mr shetani mkubwa
 
To add,

The fact that i needs this enormous initial launch 🚀 thrust is to catch up with the speed with which the ISS and earth are moving which means the rocket need to quickly counter the earth’s gravity by moving upwards and then diagonally to catch up with the speed with which the ISS and earth 🌍 has underwent, otherwise it’ll be a roller coaster reaching a target 🎯 point or deploying satellites in the required location.
 
Juzi kati nilipanda roketi flani kutoka huku kwetu ungalimited mpaka njiro, aisee ni chap kwa haraka afu zina speed knoma.
 
It was my dream kuwa mwana anga lakini lucky was not my side. Ila kiukweli katika stage ngumu kwenye safari ya anga ni hiyo inaitwa re-entry . Ni stage ngumu sana
 
Back
Top Bottom