Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Huyo aliwakamata kabisa.Teacher wangu wa Physics topic ya Mechanics, nakumbuka akatuambiaga rocket inapoanza kuruka from 0km to 100km inatumia sec 2 tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ww kaka pepo,hebu kakaako hawezi fanya jambo bandari isiuzwe maana na ww unalalamika kama sisi,sasa kuwa pepo kunakusaidia nn sasa Mr shetani mkubwaMada kama hizi unawachosha watu ambao mkataba wa DP world mpaka wale waliopo serikalini hawafahamHVi
Hata kama sijasoma PH ila nina hakika teacher alidanganya.Teacher wangu wa Physics topic ya Mechanics, nakumbuka akatuambiaga rocket inapoanza kuruka from 0km to 100km inatumia sec 2 tu [emoji23][emoji23][emoji23]