huyu mama/dada kwanza nilichogundua sio mtu wakupenda kuelimika na wala hana uwezo wa kujibu hoja. mijadala yake ni ya chini mno. nachukia jf yenye watu wanaotukana dini za wenzao.. ni yakwangu acha nikachomwe kwenye moto iwapo ni mbaya Unaponitusi na kunidharau haileti maana. ikiwa mungu wako ni mjaa dhihaka na matusi sawa lakini sidhani kama yupo.
FaizaFoxy ikiwa unapenda kuongelea jambo tazama juu na chini yake.umekazana mno kuhusu ustaarabu ukawa unautofautisha na civilization. ni kweli kwenye translation sometimes Baadhi ya maneno hukosa neno lenye maana sawa na lingine kwenye target language. mfano neno ugali kwenye post ya kwanza kabisa mimi kuchangia nilikutajia neno hili as neno la kiswahili lililochukuliwa as lilivyo na kuwa kiingereza. ni kwasababu hakuna neno linalorelate na ugali.. mwanzo uliitwa stiff porridge lakini ikaonekana si sawa. hii ni kwa sheria. jaribu kuangalia neno journey, traveling, safari nk.. kwa mzungu yako tofauti ila kwetu tuna moja tu safari.. safiri tu..... kwa dhana hii huwezi ipinga maana iliyotolewa juu ya ustaarabu.
historically ukiongelea civilization(ustaarabu) unaanza kuigusa Egypt na Mesopotamia. ukaspread to Europe na America. unaweza ona ustaarabu umeanzia Africa pia tofauti na maneno ya mzungu. sijui sisi kabla ya contact na Arabs tulikuwa madubu ambao hatujui kitu ata useme ustaarabu ni Arabic influence hata sasa....
asili ya neno yaweza moja ila neno likatumika kwa maana tofauti kwa siku zinazofuata. mfano neno fulia.. huu ni msimu ambao hauna maana kama iliyotumika 1900 neno ustaarabu/kufuata uarabu lilitumiwa katika zama. ni wazi zama zake zimeisha lakin hatuwezi kufuta kovu la historia. zama za ustaarabu ni kipindi waarabu wanataka watu woote wawe kama wao. na bado hawakuwa waarabu bali ni wafuata uarabu.. mfaransa pia aliassimilate assimilados.neno ustaarabu limebaki kwenye kamusi zetu kama lilivyobaki neno shwaini...neno mstaarabu linahusu mtu anayenda mambo yaliyo na siha njema, muungwana hatumaanishi mvaa nikabu ama mla tende tena...
mwisho naomba nikuulize je ni waarabu peke yao ndiyo wastaarabu?