Huwezi ng’ang’ania TZ Sweetheart baada ya kuachwa, tumia hata Buguruni Sweetheart – RC Makonda

Huwezi ng’ang’ania TZ Sweetheart baada ya kuachwa, tumia hata Buguruni Sweetheart – RC Makonda

Huyu nae chaumbea kweli yanamuhusu nini,kwani amesikia kuwa hamissa anataka kuitwa hivyo au raia ndio wanataka kumuita ,,ndio tushasema Hamisa tz sweetheart
Wasukuma mnatia aibu kwa kweli hiviii[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]!!!!
 
sasa kuna kibushuti mmoja hapo juu kanitolea povu,...tatzo waweza bishana na vitoto havielewi ht "eskisi" za uongozi!naumia sana kulidhalilisha kabila langu😡😡😡😡😡!its true hayo majukwaa yana watu wao...kwakweli wana moyo!
Ndugu yangu hakuna ethics za uongozi zinazoongelea haya mambo Mimi najua sheria itaje hapa hiyo kanuni!

Kiukweli mnatumia zaidi hisia na kukariri kuliko logic? Hivi uteam ni nini? Ni watu gani wanaotakiwa wawe kwenye uteam?
Viongozi hawanaga team inapokuja burudani? Hivi hakuna viongozi ni team kiba? Hakuna viongozi ni team Diamond? Inaathiri nini utendaji wao wa kazi?
Lugola alipoulizwa alisema yeye ni team kiba kwa sababu Diamond hana nidhamu alikosea? Ilimuathiri nini Wizara yake haimuhudumii diamond?

Uhuru wa maoni tunaoulilia kila siku ndiyo huu tunataka viongozi waogope kusema hata wasanii wanaowakubali eti ni ujinga? Ujinga wakati Instagram nzima imegawanyika hao wote waliomo humo Instagram ni wajinga? Tuliopo hapa tuna comments ni wajinga? Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, mimi siyo mpenzi wa Makonda ila kwa hili nitamtetea haki vile anaonewa.
 
mm siwez ifungua kwanza hii video kwasababu SIAMINI!hv makonda hana la kufanya jaman!yaan naye kajiweka kwenye matimu ya kipuuzi km haya???????? duh!
asante Mungu kwakunpa mume ambaye hana mauzauza km haya!ukute mkewe hana ht hizo team!dah!

HIVI NITIMAMU HUYU KWELI!amewadhadhalisha sana wasukuma huyu!//mxiew

Kumjua mtu tazama kauli zake na anaoongozana nao.
 
Mamlaka ya uteuzi ijitafakari. Sio kwa kiongozi kushabikia mambo ya kike na yasiyo na tija. Tukiitwa raia wa kwenye Shithole tukubali tu.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]kamgambile sweetheart, ndumba sweetheart, hawara miaka 10 sweetheart bwahahahahahhahahahhaha
 
Binafsi huwa nawachukulia kama wenye upungufu ninyi ambao mna muda mpaka wa kufatilia mambo binafsi ya watu ambayo hayana impact yoyote kwenye maisha yenu
 
Kichwa cha habari kisomeke "Serikali kupitia Mkuu wa Mkoa wa Dar imeagiza jina la Tz Sweetheart kutumiwa na Wema Sepetu pekee ambaye mahakama imemkuta na hatia kwa kosa la kukutwa na kuvuta bange"
 
Huu ujinga wangu utanigharimu siku moja. Kumbe majukumu ya Mkuu wa Mkoa ni mengi hivi Mimi nimekalia ushabiki maandazi wa Simba na Yanga? Samahani sikujua..
 
Huyo ni mwaume au mwanamke "".....? yaani huyo ndiye anaye vaa kofia ya ukuu wa Mkoa wa dar " anajihusisha na umbea .... Kweli hili taifa linaongozwa na wehu
 
Back
Top Bottom