Huwezi ng’ang’ania TZ Sweetheart baada ya kuachwa, tumia hata Buguruni Sweetheart – RC Makonda

Huwezi ng’ang’ania TZ Sweetheart baada ya kuachwa, tumia hata Buguruni Sweetheart – RC Makonda

mm siwez ifungua kwanza hii video kwasababu SIAMINI!hv makonda hana la kufanya jaman!yaan naye kajiweka kwenye matimu ya kipuuzi km haya???????? duh!
asante Mungu kwakunpa mume ambaye hana mauzauza km haya!ukute mkewe hana ht hizo team!dah!

HIVI NITIMAMU HUYU KWELI!amewadhadhalisha sana wasukuma huyu!//mxiew
Mkuu kumbe wewe ni ke
 
Sasa hivi ndiyo nimemuelewa Sugu pale aliposema mbele ya bunge kuwa Bashite akapimwe kama ni malinda.
 
We have a long way to go. Huyu ndo mkuu wa mkoa anaongea upuuzi tu. Mwenyezi Mungu tulikukosea nini sisi watanzania kama hawa ndo viongozi wetu!
Mimi huwa nawaambia Tanzania hâtuna viongozi tuna shitheads ndo wanatuongoza na baadhi yetu tunaona sawa , mwisho wa siku ni shitheads leading shit heads na output yake ni continuous circle of mental retardation na economic mediocrity of the society & the nation becomes a shithole .........Zéro type society , period !
 
🙂🙂🙂🙂 ana mapungufu yake..lakini hakai meza 1 na bashite,,mm niingekuwa bashite kwahyo nafasi ningesoma sana kwakweli!,maana pesa anayo
Alijaribu post graduate in leadership and management ikakataa, kama ingekuwa rahisi sasa hivi angekuwa PhD student
 
This is where the importance of a liberal education comes into play.
 
UPUMBAVU KAMA HUO ANGEFANYA KIONGOZI MWINGINE ANGESHATUMBULIWA...MAUPUKBAVU MENGI SANA ALISHAYAFANYA LAKINI HATUMBULIWI...

UKIJIULIZA KWANINI...UNAKAA KIMYA...
 
PAUL MAKONDA MWENYE DAR ES SALAAM YAKE.
anyway nje ya ukuu wa mkoa nae ni mwanadamu ana hisia zake pia katika maisha ya kawaida.Tusiwe tunahukumu kila jambo bila sababu
Unaweza kukuta anafatilia vizuri tuu hayo mambo km binadamu wengine, na anaweza pia akajumuika na akina wema kupeana michapo inayoendelea, ni ubinadamu tuu, akiwa nje ya ofisi, so pale kaongea km paulo sio km RCDSM
 
~~~>>>Kushabikia udaku wa Instagram ni UMAMA.... Mkuu wa mkoa kaleta umama
 
Huyo ni mwaume au mwanamke "".....? yaani huyo ndiye anaye vaa kofia ya ukuu wa Mkoa wa dar " anajihusisha na umbea .... Kweli hili taifa linaongozwa na wehu
Baba mjengo kesha tamka hadharani kuwa yeye ni kichaa,unafikiri wateule wake watakuwa na akili?
 
Back
Top Bottom