Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,782
- 3,199
Wewe umeyajuaje haya bila kufungua aka ka uzi braza si upite [emoji118]Binafsi huwa nawachukulia kama wenye upungufu ninyi ambao mna muda mpaka wa kufatilia mambo binafsi ya watu ambayo hayana impact yoyote kwenye maisha yenu