Wasukuma mnatia aibu kwa kweli hiviii[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]!!!!Huyu nae chaumbea kweli yanamuhusu nini,kwani amesikia kuwa hamissa anataka kuitwa hivyo au raia ndio wanataka kumuita ,,ndio tushasema Hamisa tz sweetheart
Ndugu yangu hakuna ethics za uongozi zinazoongelea haya mambo Mimi najua sheria itaje hapa hiyo kanuni!sasa kuna kibushuti mmoja hapo juu kanitolea povu,...tatzo waweza bishana na vitoto havielewi ht "eskisi" za uongozi!naumia sana kulidhalilisha kabila langu😡😡😡😡😡!its true hayo majukwaa yana watu wao...kwakweli wana moyo!
mm siwez ifungua kwanza hii video kwasababu SIAMINI!hv makonda hana la kufanya jaman!yaan naye kajiweka kwenye matimu ya kipuuzi km haya???????? duh!
asante Mungu kwakunpa mume ambaye hana mauzauza km haya!ukute mkewe hana ht hizo team!dah!
HIVI NITIMAMU HUYU KWELI!amewadhadhalisha sana wasukuma huyu!//mxiew
Ishu ni status yake kama mkuu wa mkoa daahh!!!shame on himi
Mmeshangaa sana ujue!!umaarufu mbaya sanaBadala apoteze muda wake Ku seek for the knowledge to stress over medula Vocal yupo bize na social net war