Huwezi ng’ang’ania TZ Sweetheart baada ya kuachwa, tumia hata Buguruni Sweetheart – RC Makonda

Huwezi ng’ang’ania TZ Sweetheart baada ya kuachwa, tumia hata Buguruni Sweetheart – RC Makonda

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ametoa kauli yake juu ya mvutano unaoendelea kati ya Wema Sepetu na team Hamisa Mobetto juu ya jina la TZ Sweetheart. Mkuu huyo alikuwa mmmoja kati ya wageni waliohudhuria Birthday Gala ya mwanadada huyo wa filamu mwenye mvuto nchini Tanzania
Tabia za umama hizi,mtu mzima kwenda kuanika kende kwenye mambo hayana msingi
 
Kwani tumemkosea nini mpaka akatuwekea huyu commissioner. Mungu tusamehe tuliyokukosea mpaka ukatupa viongozi kama hawa. Tunatubu Mungu tusamehe. Tusamehe eeh Mungu wetu.
 
Haaaahaaaa, kweli kazi ipo..huyu jamaa tangu mkuu amsifie mkuu wa mkoa wa simiyu Mh. Antony Mtaka kama mkuu wa mkoa anae chapa kazi basi konda kapagawa hajielewi hata akamate wapi, na issue ya makontainer yake ndio imemtoa kabisa utimamu, kabaki kuwa mshenga wa kina majizo, lemutuz na Jembe, kapotezwa akapotea.
 
Haaaahaaaa, kweli kazi ipo..huyu jamaa tangu mkuu amsifie mkuu wa mkoa simiyu Mh. Antony Mtaka kama mkuu wa mkoa anae chapa kazi basi konda kapagawa hajielewi hata akamate wapi, na issue ya makontainer yake ndio imemtoa kabisa utimamu, kapaki kuwa mshenga wa kina majizo, lemutuz na Jembe, kapotezwa akapotea.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Huwa sielewi jinsi makonda anavyouchezesha mdomo wake.

Mdomo umelegea sanaa
 
Back
Top Bottom