Huwezi ukamdharau na kumtweza Manara halafu uendelee kushinda

Manara ndo nani na nyie acheni kumvimbisha kichwa hana lolote mnafiki yule mvurugaji..mwacheni Kamwe afanye kazi yake..
Yani mnataka kumfanya yy ndo kizizi cha mpira?
Toeni utopolo wenu...
 
Hongera kwa kuliona Hilo,kamwe kaikuta yanga Iko vizuri na kubeba makombe ila manara katukuta tuna ukame wa miaka minne hatuna kombe tukaangaika naye usiku na mchana Leo Hii unamdhara mtu mliyoangaika naye hata kufungwa na tff?injinia epuka wahuni akina kamwe na genge lake Kumbuka ulipotoka na manara mwombe msamaha.
 
Manara ndo nani na nyie acheni kumvimbisha kichwa hana lolote mnafiki yule mvurugaji..mwacheni Kamwe afanye kazi yake..
Yani mnataka kumfanya yy ndo kizizi cha mpira?
Toeni utopolo wenu...
Endeleeni na kiburi hicho,Simba wanakufa imewaghalimu pesa na muda Leo Hii wamewaingiza kingi nanyi mmeingia,mpira wa Afrika unachezwa zaidi nje ya uwanja.
 
Hizi mentality ndio znafanye ndugu zetu albino wakatwe viungo
 
Battalion nyuki tabora!

Kufungwa kupo tu!!

Hasta man city anafungwa na Madrid yenye vifaa vyote inafungwa lakini hakuna kelele kama hizi!
 
SINDANO ZA KUONGEZA NGUVU FC
HAMISA MOBETO FC
KUMBATIA NYUKI ULE ASALI FC
SUPU YA NG'OMBE FC
TATU BILA FC
MANYANI NA MAMMBWA FC
LUC EYMAEL FC
WENYE AKILI WAWILI TU FC
GETI LA NYUMA FC
KIMOKO CHA AZAM FC
GAMONDI BONDIA FC
WAMWAGA UNGA KWENYE MAGETI FC.
WACHAWI FC
MAJINI YA BAHARINI FC
MR. MPILI MCHAWI MKUU YANGA FC
BOMBA LA SINDANO FC
MATEJA FC

[emoji23][emoji23]
 
Watanzania walishanasa kwenye tope la upumbavu, kuwatoa haiwezekani labda wakufe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tabora kafanya nchi kuna vita kubwa
 
Manara apeleke Ngekewa yake kwenye timu ya Ken Gold tuone kama itachukua ubingwa wa ligi kuu. Mleta uzi una akili zilizolala
 
Yaani umeongea hadi nikakumbuka nilishawahi kusema jambo kama hilo mara Simba Sports walipomtema Manara. Juzijuzi alipomaliza kifungo chake nikasikia kawekwa pembeni, nilisema tujiandae kwa ANGUKO. Licha ya kucheza kale kamziki eti YANGA UTAIFUNGAJE mimi nilibaki kimya kama mtu anayeota ndoto hivi hatimaye AZAM na TABORA UNITED Wameanza kutoa majibu ni jinsi gani Yanga itafungwa. MANARA NI MHAMASISHAJI JAPO TUMEFUNGWA KUNA KITU ANGEFANYA HADI TUNGERUDI KWENYE HAMASA.

ENG HERSI MRUDISHE Haji Manara katika nafasi yake.
 
Una maana huyu sope ni aina ya ndagu fulani hivi, akinuna mambo yanakwenda ovyo kwenye familia au taasisi?
 
Kama Yanga waliweza kumtimua Mangara Tabu aliyewapa mafaniko mengi itakuwa Haji Manara ambaye ni Simba lia lia!!!
Manara tafuta kazi nyingine mpira umekushinda.
 
Sawa Bugatti nimekusoma
 
Manara anacheza namba ipi uwanjani?

Kwahiyo Manara akipewa nafasi ya usemaji Pamba Fc Pamba itachukua ubingwa kisa Manara ana ngekewa ya ushindi?

Aise watu kama nyinyi ndiyo mnafanya hata nchi idumae kukua kiuchumi.
Kwani wakati mnamsajili kutoka simba kwa mbwembwe mlimsajili ili acheze namba ngapi?
 
Wewe ndiye mpumbavu unayeamini kuwa rangi ya albino inasaidia ushindi wa timu.

Nyie ndiyo mnasababisha albino wanauliwa kwa imani kuwa viungo vyao ni biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…