data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Magufuli alikuja hivihivi kwa visasi.. timuatimua wateuliwa wootee wa JK na kuweka wake. Akimnanga JK kila mahala, nchi ilipigwa..watanzania mmeibiwa saanaa..sisi sio masikini... Akaenda.
Mama akaja, yaleyale. Vijembe kwa mtangulizi wake, Ametimua woote wa Magufuli na kuweka wake. Mbaya zaidi mama amewarejesha wale ambao aonavyo yeye walikuwa na nasaba na JK ambao walitimuliwa na Magufuli.
Sasa tizama hili . Hao Mama aliowarejesha, team msoga. Nchi nzima inafahamika kwamba ndio mafisadi makuu ya nchi hii. Sasa ndio wanaongoza nchi.
Mtaani Watanzania wamekata tamaa.. Repoti ya CAG ndo imeharibu kila kitu. Kilichopo mtaani saivi ni kwamba Mama kawaleta watu wake wapige. Na WANAPIGA.
Sasa kinachotakiwa fanyika hapa sasa ni nini. Mama lazima abadili gia, kinyume na hapo hamalizi 2025.. mtaniambia. Hawezi fanikiwa kamwe. KARMA IS REAL...
Sasa kila mmoja anabeba anapoweza anaenda.
Em mnipishe kwanza..
Salamu kwa POLEPOLE hukooo CUBA.
LATEST UPDATES..
As per todays tragic incident.. kuna watu wanasherehekea kifo cha Benard Membe. Kama vilevile kilivyosherekewa kifo cha Magufuli.
Sasa nawambia hivi..
Mnachokitafuta ndugu zangu watanzania Mtakipata. Soon.
Im DONE.