Miye sijakata tamaaMagufuli alikuja hivihivi kwa visasi.. timuatimua wateuliwa wootee wa JK na kuweka wake. Akimnanga JK kila mahala, nchi ilipigwa..watanzania mmeibiwa saanaa..sisi sio masikini... Akaenda.
Mama akaja, yaleyale. Vijembe kwa mtangulizi wake, Ametimua woote wa Magufuli na kuweka wake. Mbaya zaidi mama amewarejesha wale ambao aonavyo yeye walikuwa na nasaba na JK ambao walitimuliwa na Magufuli.
Sasa tizama hili . Hao Mama aliowarejesha, team msoga. Nchi nzima inafahamika kwamba ndio mafisadi makuu ya nchi hii. Sasa ndio wanaongoza nchi.
Mtaani Watanzania wamekata tamaa.. Repoti ya CAG ndo imeharibu kila kitu. Kilichopo mtaani saivi ni kwamba Mama kawaleta watu wake wapige. Na WANAPIGA.
Sasa kinachotakiwa fanyika hapa sasa ni nini. Mama lazima abadili gia, kinyume na hapo hamalizi 2025.. mtaniambia. Hawezi fanikiwa kamwe. KARMA IS REAL...
Sasa kila mmoja anabeba anapoweza anaenda.
Em mnipishe kwanza..
Salamu kwa POLEPOLE hukooo CUBA.
Aiseekinyume na hapo hamalizi 2025.. mtaniambia. Hawezi fanikiwa kamwe. KARMA IS REAL...
Mkuu em kuwa serious basi on critical matters threatening the nation. Weka ushabiki pembeni kwanza.Sukuma gang bwana! Kwahiyo ulitaka mbakishwe ninyi? Mama piga kazi. Ripoti ya CAG siyo ya kwanza hii kuonesha wizi na ubadhirifu serikalini. Ni upepo tu huu,. Utapita.
View attachment 2581868
KabisaSukuma gang bwana! Kwahiyo ulitaka mbakishwe ninyi? Mama piga kazi. Ripoti ya CAG siyo ya kwanza hii kuonesha wizi na ubadhirifu serikalini. Ni upepo tu huu,. Utapita.
View attachment 2581868
Kwenu ubaya wa ufisadi mpaka mtazame sura, hizo lawama kazitoa nani?Sukuma gang bwana! Kwahiyo ulitaka mbakishwe ninyi? Mama piga kazi. Ripoti ya CAG siyo ya kwanza hii kuonesha wizi na ubadhirifu serikalini. Ni upepo tu huu,. Utapita.
View attachment 2581868
Kwanza umetumia lugha isiyokuwa ya kiungwana (vitisho) kwenye uzi wako umesema mama hatofika 2025. Hebu tuambie ataenda wapi?Mkuu em kuwa serious basi on critical matters threatening the nation. Weka ushabiki pembeni kwanza.
🤩🤩🤩 Mboe analamba Asali Mnyika na Lisu wanamfuata Dr Slaa kwenye Katiba Mpya ya WananchiSukuma gang bwana! Kwahiyo ulitaka mbakishwe ninyi? Mama piga kazi. Ripoti ya CAG siyo ya kwanza hii kuonesha wizi na ubadhirifu serikalini. Ni upepo tu huu,. Utapita.
View attachment 2581868
If wishes were horses ..............Time is the best teller.. WAIT.
Huwa siibagazi taasisi ya urais kama wewe ulivyofanya.. Huwa nawatapikia wajinga wa JF tu.Wewe ni wa kuhoji uungwana kweli.. wewe ambae huwa unanyea mdomoni hapa. Useless
Kuna taarifa pia ya CAG ilibainisha 1.3 trilion hazijulikani zilipo lakini kelele hazikupigwa hivi. Taarifa hii ni ya ukiukwaji tu wa taratibu sidhani kama kuna wizi mkubwa sana uliofanyika japokuwa kweli wizi upo! Nchi yangu Tanzania [emoji1241] [emoji177][emoji177]Sukuma gang bwana! Kwahiyo ulitaka mbakishwe ninyi? Mama piga kazi. Ripoti ya CAG siyo ya kwanza hii kuonesha wizi na ubadhirifu serikalini. Ni upepo tu huu,. Utapita.
View attachment 2581868