Huwezi ukaongoza nchi kwa visasi ukafanikiwa. NEVER!

Wewe kama sio mpigaji, basi unafaidika na upigaji unaoendelea chini ya serikali ya Samia!!
 
Taifa letu sasa lilipo bakia linahitaji uponyaji...

Subirini muone.
 

Sukuma gang bwana! Kwahiyo ulitaka mbakishwe ninyi? Mama piga kazi. Ripoti ya CAG siyo ya kwanza hii kuonesha wizi na ubadhirifu serikalini. Ni upepo tu huu,. Utapita.



View attachment 2581868
Kaeni Kwa kutulia , punguzeni fyoko fyoko , anyway mkazike salama twendeni mpak 2025..
 
Kaeni Kwa kutulia , punguzeni fyoko fyoko , anyway mkazike salama twendeni mpak 2025
Kesho yako yaja soon...

Si mmeamua kulifanya taifa hili la laana ya KARMA..
 
Usitutishe by Maalimu seif voice
 
Mkuu em kuwa serious basi on critical matters threatening the nation. Weka ushabiki pembeni kwanza.
Mkuu hata wewe umeweka ushabiki, ni kawaida rais mpya kuweka timu yake.
Huwezi kuwa kiongozi mpya urithi wasaidizi wa zamani. Unaweka inaodhani watakufaa.
Na ni kawaida..
 
Sasa Si walionewa na magufuli kwa wewe unaita visasi wamerudi Tena maana wametendewa haki?
 
Siogopi because I believe in KARMA!
Kwanini tuendelee kuishi na KARMA... kwanini tusipate kiongozi wa Nchi akemee hizi karma.. aanze upya..
 
Leadership! leadership! leadership!!!

Ndio tatizo kubwa la "human capital' tulilonalo kama Taifa, toka uhuru.

Mengine yote yanafuata baada ya tatizo hilo la kwanza - lack or absence of leadership.
 
Taifa letu sasa lilipo bakia linahitaji uponyaji...

Subirini muone.

Tusubili tuone nini na kazi ndio imeanza!! Wameisha anza kutengeneza mazingira kuwa kuna virusi hivyo wale maswahiba wa Membe wakiondoka baadae watasema ni virusi kwa vile walikuwa karibu na Membe aliyekufa kwa kushindwa kupumua !! Tunarudi kule kule kwenye enzi za corona!!! Hivyo Membe hataondoka peke yake lazima atakuwa na wasindikizaji!
 
Hata wewe unachokitafuta utakipata soon.
By the way kila kiongozi na maono yake na filosofia zake ktk kutawala.
Jpm alifukuza watu kwa husda ya ukabila iliyojengeka akilini mwake kutokana na hitilafu katika ubongo wake.
Unapolinganisha fukuza/teua za jpm vs mama anza na Nyerere vs wakoloni ukuje hadi wakati wa JK vs Mkapa tutakuelewa.
Otherwise SUKUMA GANG mmeishiwa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…