Huyo De Gea ni jini!

Jamani nimevumilia ila nimeshindwa kuzia sifa zangu za dhati kwa goalkeeper hodari wa Manchester United 'Degea'kwa umahiri wake mkubwa wa kuzuia mashambulizi ya Tottenham...Jamaa kaonyesha uwezo mkubwa sana..Hii ndio kazi binafsi pasipo kutegemea timu. Sio shabiki wa Man U ila uwezo wake nimeulewa sana...De gea ni moto wa kuotea Mbali...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ngoja nitafute video nijionee alichofanya
 
Yes amefanya kazi kubwa, ila bahati pia ilikuwa upande wetu Red Devils, maana Spurs wamepiga mpira mwingi sana kipindi cha pili! Binafsi napenda sana ule utulivu wa Kocha Ole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…