Huyo De Gea ni jini!

Huyo De Gea ni jini!

1 good performance in his past 40 games,best keeper in the world.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Washabiki kwa kukuza mambo hamjambo..... Eti best goalkeeper in the world!! Huyo De gea kafungwa magoli 32 ndani ya mechi 22 pekee ilihali wenzake kina Oblak wamefungwa magoli 10 pekee msimu huu mpaka sasa.....

De Gea kweli kajitahidi sana Man U lakini ni wa kawaida sana sema anabebwa na media na ndio maana alikua hana msaada wowote kwa timu ya taifa hadi kusababusha ikatolewa mapema imagine alishindwa okoa hata penalty mechi ya Russia.....!!
 
Kiukwel Man U wanabahat sana ya kupata MagoalKeeper Bora na wenye maajabu yake....KAMA SHABIKI TUPIA NENO MOJA LA UTAN KUUSU DAVID DE GEA naaanza [emoji23][emoji23]Huyu Goli kipa anaweza kudaka hata Risasi
cf280f29fc9979049257f05533c07427.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu neno bahati litoe,sema man u wana acdemy na makocha bora wa makipa,unadhani degea alikuja hivyo uyo,2litaniwa sana 2menunua pazia enzi izo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Washabiki kwa kukuza mambo hamjambo..... Eti best goalkeeper in the world!! Huyo De gea kafungwa magoli 32 ndani ya mechi 22 pekee ilihali wenzake kina Oblak wamefungwa magoli 10 pekee msimu huu mpaka sasa.....

De Gea kweli kajitahidi sana Man U lakini ni wa kawaida sana sema anabebwa na media na ndio maana alikua hana msaada wowote kwa timu ya taifa hadi kusababusha ikatolewa mapema imagine alishindwa okoa hata penalty mechi ya Russia.....!!
Ah ah ah nenda kwnye siasa tu,huku maji 'mazito'
DEGEA ,stats generation bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo uwezo wake si wakawaida-haiwezekani!

Kipa gani yupo makini kupitiliza namna hiyo!?Mm kuanzia leo nawasiliana na babu kule kijijini tulijadili suala la uwezo wa kupitiliza wa huyo mtu!

Ni hatari!
Mbona ana clean sheet 4 tu msimu.mzima. ujini wake ulikuwa wapi?? Amekuwa na game moja tu vizuri mshaanza kelele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ah ah ah nenda kwnye siasa tu,huku maji 'mazito'
DEGEA ,stats generation bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaahaaaa hapana mkuu hakuna siasa tunaenda kwa takwimu..... Oblak hajafungwa goli kwenye mechi 100 katika mechi 170 alizocheza hiyo rekodi nani kawahi iweka?? Wakati huyo De Gea msimu huu katika kila mechi anayocheza anafungwa goli 2+ sasa ana jipya gani??

De Gea ni mzuri ila nachopinga sio best in the world.... Ukipata muda soma uchambuzi wa takwimu then urudi kusema De Gea ndio best

Why Jan Oblak tops David de Gea as world's best goalkeeper
 
Washabiki kwa kukuza mambo hamjambo..... Eti best goalkeeper in the world!! Huyo De gea kafungwa magoli 32 ndani ya mechi 22 pekee ilihali wenzake kina Oblak wamefungwa magoli 10 pekee msimu huu mpaka sasa.....

De Gea kweli kajitahidi sana Man U lakini ni wa kawaida sana sema anabebwa na media na ndio maana alikua hana msaada wowote kwa timu ya taifa hadi kusababusha ikatolewa mapema imagine alishindwa okoa hata penalty mechi ya Russia.....!!
Kwahiyo kaka huyu De gea ni Zwazwa tu kama mazwazwa wengine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa man u bwana leo kafanya vzur mnamsifu na kumuita genius ila siku akizingua mtamuita kila aina ya jina baya

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa anaye jua mpira kamwe toka kipindi kile amesajiriwa ndio alikuwa anazingua sana, ila baada ya hapo amekuwa ni mkombozi wetu!! Bila yeye sijui hata tungekuwa nafadi ya ngapi!!
 
Back
Top Bottom