Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa man u bwana leo kafanya vzur mnamsifu na kumuita genius ila siku akizingua mtamuita kila aina ya jina baya
Sent using Jamii Forums mobile app
Washabiki kwa kukuza mambo hamjambo..... Eti best goalkeeper in the world!! Huyo De gea kafungwa magoli 32 ndani ya mechi 22 pekee ilihali wenzake kina Oblak wamefungwa magoli 10 pekee msimu huu mpaka sasa.....1 good performance in his past 40 games,best keeper in the world.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyu kipa auzwe anaharibu ligi,naanda maandamano wenzake wanamtegea kazi bora asepe tu
Mkuu neno bahati litoe,sema man u wana acdemy na makocha bora wa makipa,unadhani degea alikuja hivyo uyo,2litaniwa sana 2menunua pazia enzi izoKiukwel Man U wanabahat sana ya kupata MagoalKeeper Bora na wenye maajabu yake....KAMA SHABIKI TUPIA NENO MOJA LA UTAN KUUSU DAVID DE GEA naaanza [emoji23][emoji23]Huyu Goli kipa anaweza kudaka hata Risasi![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Degea kna game alznguq ila hakuitwa jina lolote,wavamiaji wanaweza kumuita ovyo ila mashabik og wa man u huyu jamaa ktambo sana ypo kwny 'exception' list,hta ampge m2 nyumi 2tamsapot[emoji41]Watu wa man u bwana leo kafanya vzur mnamsifu na kumuita genius ila siku akizingua mtamuita kila aina ya jina baya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah ah ah nenda kwnye siasa tu,huku maji 'mazito'Washabiki kwa kukuza mambo hamjambo..... Eti best goalkeeper in the world!! Huyo De gea kafungwa magoli 32 ndani ya mechi 22 pekee ilihali wenzake kina Oblak wamefungwa magoli 10 pekee msimu huu mpaka sasa.....
De Gea kweli kajitahidi sana Man U lakini ni wa kawaida sana sema anabebwa na media na ndio maana alikua hana msaada wowote kwa timu ya taifa hadi kusababusha ikatolewa mapema imagine alishindwa okoa hata penalty mechi ya Russia.....!!
Tatizo jana aguero hakuwepo.Naona pachetino hakumpanga.
Tatizo jana aguero hakuwepo.Naona pachetino hakumpanga.
Mbona ana clean sheet 4 tu msimu.mzima. ujini wake ulikuwa wapi?? Amekuwa na game moja tu vizuri mshaanza kelele.Huo uwezo wake si wakawaida-haiwezekani!
Kipa gani yupo makini kupitiliza namna hiyo!?Mm kuanzia leo nawasiliana na babu kule kijijini tulijadili suala la uwezo wa kupitiliza wa huyo mtu!
Ni hatari!
Haaahaaaa hapana mkuu hakuna siasa tunaenda kwa takwimu..... Oblak hajafungwa goli kwenye mechi 100 katika mechi 170 alizocheza hiyo rekodi nani kawahi iweka?? Wakati huyo De Gea msimu huu katika kila mechi anayocheza anafungwa goli 2+ sasa ana jipya gani??Ah ah ah nenda kwnye siasa tu,huku maji 'mazito'
DEGEA ,stats generation bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kaka huyu De gea ni Zwazwa tu kama mazwazwa wengine?Washabiki kwa kukuza mambo hamjambo..... Eti best goalkeeper in the world!! Huyo De gea kafungwa magoli 32 ndani ya mechi 22 pekee ilihali wenzake kina Oblak wamefungwa magoli 10 pekee msimu huu mpaka sasa.....
De Gea kweli kajitahidi sana Man U lakini ni wa kawaida sana sema anabebwa na media na ndio maana alikua hana msaada wowote kwa timu ya taifa hadi kusababusha ikatolewa mapema imagine alishindwa okoa hata penalty mechi ya Russia.....!!
Kwa anaye jua mpira kamwe toka kipindi kile amesajiriwa ndio alikuwa anazingua sana, ila baada ya hapo amekuwa ni mkombozi wetu!! Bila yeye sijui hata tungekuwa nafadi ya ngapi!!Watu wa man u bwana leo kafanya vzur mnamsifu na kumuita genius ila siku akizingua mtamuita kila aina ya jina baya
Sent using Jamii Forums mobile app