Huyo Mpenzi uliyenaye atakuvumilia katika Matatizo? Mpenzi wa Fei Toto aliolewa wakati wa Sakata la Fei na Yanga

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
fei.jpg

Akizungumza katika 'Intavyuu' maalum na Mwananchi Feisal Salum maarufu Fei Toto amefunguka yafuatayo kuhusu mahusiano yake.

"Lile sakata liliniathiri kwenye mambo mengi sana sio kwa upande wa kucheza pekee, wakati niko kwenye wakati mgumu kama ule kila wakati unafikiria hii kesi itaishaje, nikakutana na pigo lingine la kukimbiwa na mpenzi wangu ambaye niliamini ningekuja kumuoa.

"Aliona kama maisha yangu ya soka tena basi ndio yameishia pale alishindwa kuvumilia na kuamua kutafuta mtu mwingine kitu kilichoniumiza zaidi ni hatua mbaya zaidi kwangu ikawa kwenda kuolewa tena nikiwa katikati ya lile sakata, sikuwa nimemuoa ila tulikuwa na mipango mingi ya maisha kati yetu, hakutaka kuvumilia kabisa nililazimika kuyapokea maamuzi yake hakukuwa na namna na sasa nimerudi uwanjani maisha mengine yataendelea tu."

HAKUMTAFUTA BAADA YA SAKATA KUMALIZIKA

"Hapana hakunitafuta na wala mimi sikumtafuta nilikubaliana na maisha au maamuzi aliyoyachukua na bahati mbaya sana mimi huwa sina hulka ya kuangalia nyuma eneo ambalo nimeondoka nilikubaliana naye maisha lazima yaendelee kwake na kwangu nikipata mwingine nitashukuru Mungu.

Chanzo: Mwanachi
 
"Lile sakata liliniathiri kwenye mambo mengi sana sio kwa upande wa kucheza pekee, wakati niko kwenye wakati mgumu kama ule kila wakati unafikiria hii kesi itaishaje, nikakutana na pigo lingine la kukimbiwa na mpenzi wangu ambaye niliamini ningekuja kumuoa.”

7dc87b2cdda980645d44b800f63c2d37.jpg

"Aliona kama maisha yangu ya soka tena basi ndio yameishia pale alishindwa kuvumilia na kuamua kutafuta mtu mwingine kitu kilichoniumiza zaidi ni hatua mbaya zaidi kwangu ikawa kwenda kuolewa tena nikiwa katikati ya lile sakata, sikuwa nimemuoa ila tulikuwa na mipango mingi ya maisha kati yetu, hakutaka kuvumilia kabisa nililazimika kuyapokea maamuzi yake hakukuwa na namna na sasa nimerudi uwanjani maisha mengine yataendelea tu." — Feisal Salum alihojiwa na MwanaSport
 
"Lile sakata liliniathiri kwenye mambo mengi sana sio kwa upande wa kucheza pekee, wakati niko kwenye wakati mgumu kama ule kila wakati unafikiria hii kesi itaishaje, nikakutana na pigo lingine la kukimbiwa na mpenzi wangu ambaye niliamini ningekuja kumuoa.”
7dc87b2cdda980645d44b800f63c2d37.jpg

"Aliona kama maisha yangu ya soka tena basi ndio yameishia pale alishindwa kuvumilia na kuamua kutafuta mtu mwingine kitu kilichoniumiza zaidi ni hatua mbaya zaidi kwangu ikawa kwenda kuolewa tena nikiwa katikati ya lile sakata, sikuwa nimemuoa ila tulikuwa na mipango mingi ya maisha kati yetu, hakutaka kuvumilia kabisa nililazimika kuyapokea maamuzi yake hakukuwa na namna na sasa nimerudi uwanjani maisha mengine yataendelea tu." — Feisal Salum
 
"Lile sakata liliniathiri kwenye mambo mengi sana sio kwa upande wa kucheza pekee, wakati niko kwenye wakati mgumu kama ule kila wakati unafikiria hii kesi itaishaje, nikakutana na pigo lingine la kukimbiwa na mpenzi wangu ambaye niliamini ningekuja kumuoa.”
View attachment 2770296

Kwahiyo atamrudia huyo kahaba!?
 
Wanawake huwa tunaona mbali, wee mtu anawanyambua mabosi wake hadharani, mara anasema walikuwa wanamlisha ugali na sukari ndo angeweza kumstiri mke?
Siku vingeumana angeenda klauzi kusema mke alikuwa anampa nyama mbichi (elewa neno nyama) 🤣🤣🤣🤣

Mwanaume kifua bwana, mwanaume koromeo, mwanaume hasusi.... lile sakata lilionesha ana umama mwingi, kiasi akimbiwe.
 
Sasa kwa zile taarabu anazokaa na kuziimba huku anajirekodi (Macho yakiwa yamelegea) - kisha kujipost Instagram na kuzirusha kwenye ma-group ya WhatsApp, alitegemea huyo Bi-dada atazifurahia? Ametumia matatizo ya Yanga kama sababu tu...
 
"Lile sakata liliniathiri kwenye mambo mengi sana sio kwa upande wa kucheza pekee, wakati niko kwenye wakati mgumu kama ule kila wakati unafikiria hii kesi itaishaje, nikakutana na pigo lingine la kukimbiwa na mpenzi wangu ambaye niliamini ningekuja kumuoa.”
View attachment 2770296
"Aliona kama maisha yangu ya soka tena basi ndio yameishia pale alishindwa kuvumilia na kuamua kutafuta mtu mwingine kitu kilichoniumiza zaidi ni hatua mbaya zaidi kwangu ikawa kwenda kuolewa tena nikiwa katikati ya lile sakata, sikuwa nimemuoa ila tulikuwa na mipango mingi ya maisha kati yetu, hakutaka kuvumilia kabisa nililazimika kuyapokea maamuzi yake hakukuwa na namna na sasa nimerudi uwanjani maisha mengine yataendelea tu." — Feisal Salum
Kumiliki akili si Jambo dogo.
 
Sasa kwa zile taarabu anazokaa na kuziimba huku anajirekodi (Macho yakiwa yamelegea) - kisha kujipost Instagram na kuzirusha kwenye ma-group ya WhatsApp, alitegemea huyo Bi-dada atazifurahia? Ametumia matatizo ya Yanga kama sababu tu...
Hebu tuseme tu ukweli.

Endapo asingepata matatizo, angekimbiwa na crush wake?
 
Asitafute kisingizio cha matatizo yake na Yanga. Huyo binti aligundua mtu aliyekuwa naye ameshikwa akili na masikio, na mama yake! Hivyo aliona hakuna future nzuri mbele yake.

Fei Toto akubali tu maamuzi yake aliyoyachukua kipindi kile yalikuwa ni ya kipuuzi. Na madhara yake yameshaanza kuonekana! Na pia yatamtesa kwa miaka mingi.
 
"Lile sakata liliniathiri kwenye mambo mengi sana sio kwa upande wa kucheza pekee, wakati niko kwenye wakati mgumu kama ule kila wakati unafikiria hii kesi itaishaje, nikakutana na pigo lingine la kukimbiwa na mpenzi wangu ambaye niliamini ningekuja kumuoa.”
View attachment 2770296
"Aliona kama maisha yangu ya soka tena basi ndio yameishia pale alishindwa kuvumilia na kuamua kutafuta mtu mwingine kitu kilichoniumiza zaidi ni hatua mbaya zaidi kwangu ikawa kwenda kuolewa tena nikiwa katikati ya lile sakata, sikuwa nimemuoa ila tulikuwa na mipango mingi ya maisha kati yetu, hakutaka kuvumilia kabisa nililazimika kuyapokea maamuzi yake hakukuwa na namna na sasa nimerudi uwanjani maisha mengine yataendelea tu." — Feisal Salum
Ukiwa Maskini wa fikra utapata tabu sana.
 
"Ama Fei aendelee kucheza Yanga,au Rais Hersi aachie kiti"
Fei bana!
 
Back
Top Bottom