Huyo Mpenzi uliyenaye atakuvumilia katika Matatizo? Mpenzi wa Fei Toto aliolewa wakati wa Sakata la Fei na Yanga

Kuna muda najiwazia nasema hivi nikapatwa na ulemavu wa kudumu nikiwa na mpenzi .Je atavumilia kuishi nami? Hakika muda ni jawabu

The best scenario ni kuomba Mungu akupe atakae kuvumilia. But usiwele matumaini kwa hawa viumbe nyakati za shida
 
Mbona yeye umaarufu ulivyokolea alimmwaga Yule Shangazi aliekua anamlea?
 

Bola ata alikuacha umejua tabia yake kuliko kumuoa usije jutia badae mshkurubmunhu kwa kila hatua yako FEI TOTO
 
Mzenji amegoma kuachika,Yanga imemove on ila yeye bado ana Yanga.
 
Sasa ulitegemea kuna mwanamke atakaa na mwanaume mjinga kiasi cha kutangaza anakula ugali na sukari
Ana Utoto bado

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Mama k ..,mwananchi pure
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…