Huyo Mpenzi uliyenaye atakuvumilia katika Matatizo? Mpenzi wa Fei Toto aliolewa wakati wa Sakata la Fei na Yanga

Huyo Mpenzi uliyenaye atakuvumilia katika Matatizo? Mpenzi wa Fei Toto aliolewa wakati wa Sakata la Fei na Yanga

Acha kumuonea Fei, Dubai kwenyewe tena kipindi cha Mwezi wa Ramadhani, bint mrembo maridhawa wa kiarabu tena swala tano nikajifanya muungwana kwa kumwambia ni mwezi wa Ramadhani, yeye akanitamkia kwamba "Ramadhani ipo huko nje, humu ndani hakuna Ramadhani"

Sasa ndiyo unataka umbebeshe hu mzigo Fei ambaye ni kijana kutoka sijui Pingwe , sijui Kizimkazi...usimuonee bana
Uongo mtupu, si kila aliyepo Dubai ni Muislam.
 
Alimuona mjinga Sasa kwann aolewe na mtu mjinga asiyejitambua
 
Uongo mtupu, si kila aliyepo Dubai ni Muislam.
Usinibishie basi kipenzi. Kwani wapi nimetoa takwimu za aina ya watu waliopo dubai mama?
Halafu inabidi tuirudie tena ile tour yetu ya Amboni - Tanga.
 
"Lile sakata liliniathiri kwenye mambo mengi sana sio kwa upande wa kucheza pekee, wakati niko kwenye wakati mgumu kama ule kila wakati unafikiria hii kesi itaishaje, nikakutana na pigo lingine la kukimbiwa na mpenzi wangu ambaye niliamini ningekuja kumuoa...
Hii ndio karma Sasa.

Wakati yeye anaondoka yanga baada ya kupata [bwana], timu, nyingine aliondoka na maneno kibao; Mara sipati lishe nzuri, mara Sina mahaba nk.

Nayeye Sasa Binti akakosa mahaba naye. What goes around comes around.
 
Mpenzi wake ni YANGA kaolewa na GAMONDI
 
Fei toto kashaanza yake tena analamika mapenzi wakati kuna dada yupo TikTok alisema yupo tayar kumpa fei penzi akitaka mda wowote halafu anazingua yy ni Mchezaji mkubwa madem wanamuelewa sana kwa nn ateseke wakat ana uwezo wa kupata utelezi mda wowote yy ni staa pia ana pesa
 
Katoto kalichotumia walemavu kama wasemaji wa sukari kupanda bei kwa kweli ni kajinga.

Baada ya kutetewa na mkubwa wa nchi unadai ni mapenzi kushuka kiwango.

Nchi hii kama waziri mbarawa ana shangaa ndege kuchukua lisaa li Moja bara basi na huyu mtoto kaleta kali ya mwaka.

FB_IMG_1696358782053.jpg
 
Bila msaada wa hiyo nilikuwa nishatoka kapa.
 
Katoto kalichotumia walemavu kama wasemaji wa sukari kupanda bei kwa kweli ni kajinga.
Baada ya kutetewa na mkubwa wa nchi unadai ni mapenzi kushuka kiwango.
Nchi hii kama waziri mbarawa ana shangaa ndege kuchukua lisaa li Moja bara basi na huyu mtoto kaleta kali ya mwaka.View attachment 2770993
Ikiwa shetani ako na bro wake basi dogo yupo sahihi 😂
 
Wanawake huwa tunaona mbali, wee mtu anawanyambua mabosi wake hadharani, mara anasema walikuwa wanamlisha ugali na sukari ndo angeweza kumstiri mke?
Siku vingeumana angeenda klauzi kusema mke alikuwa anampa nyama mbichi (elewa neno nyama) [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mwanaume kifua bwana, mwanaume koromeo, mwanaume hasusi.... lile sakata lilionesha ana umama mwingi, kiasi akimbiwe.
We sema umeamua kuonesha jinsi huna akili, umevamia pernality ya mtu na sio funzo kutokana na kilichoulizwa au kuandikwa
 
Taifa langu lina watu wapuuzi sana, kilichoulizwa hapa sio Personality ya Fei ni Funzo gani mnapata kutoka kwa kilichomkuta ukiangalia Mpenzi wako anaweza kukuvumilia ukipata shida? Tena shida iguse uchumi wako sasa watu wanaleta unazi wa kiduanzi wa Simba na Yanga hapa. Bad enough ni vijana
 
Wanawake huwa tunaona mbali, wee mtu anawanyambua mabosi wake hadharani, mara anasema walikuwa wanamlisha ugali na sukari ndo angeweza kumstiri mke?
Siku vingeumana angeenda klauzi kusema mke alikuwa anampa nyama mbichi (elewa neno nyama) [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mwanaume kifua bwana, mwanaume koromeo, mwanaume hasusi.... lile sakata lilionesha ana umama mwingi, kiasi akimbiwe.
Wanawake matapeli tu aliona kijana.maisha yame mpiga sasa, atapigwa yeye
 
Mume wangu.

Mama'ko alitolewa na nani usichana wake?
kuhusu mama yangu siwezi jua kwa kweli maana wakati anaolewa sikuwepo,

but i said no offence intended, i was just being curious, why such a rude reply madam?
 
Kwa sakata la Fei Toto kuachwa na demu shabiki wa Yanga SC wakataa kuoa hoja yetu ina mashiko

Fei Toto kuachwa na demu wake ilitokana na yeye kuzinguana na Yanga SC kwa hio wakati ule hakuwa katika hali ya uhakika kifedha demu akamtema akaenda kuolewa na baharia mwingine.

Hili funzo itoshe kusemq wanawake kimsingi ni kupe kama huna cha kunyonywa basi huna faida kwao.

Bora kuchukua maokoto kuliko kuoa.

Imeisha hio

Wadiz
 
Back
Top Bottom