misaada ya nini?Hapa enyewe tupo kwenye Changomoto za kunyimwa misaada na EU ila bado kang’ang’ana
Hata bila misaada ya nje watu bado wanatanua kwa pesa za ndani ya nchi, Mishahara na posho za wajiriwa serikalini haijapungua, ruhusa ya kula kwa urefu wa kamba bado ipo,Hapa enyewe tupo kwenye Changomoto za kunyimwa misaada na EU ila bado kang’ang’ana
Kutoka umoja wa ulaya zaid ya Bmisaada ya nini?
Tuulize sehemu za siri ndio zinajuaBiashara ikiyumba hadi kufirisika
Ukifukuzwa kazi
Kupatwa changamoto kubwa za afya au ulemavu
Kufungwa Jela
n.k.