Huyo mpenzi wako wa maisha vipi kwenye changamoto una uhakika atabaki ?

Hapa enyewe tupo kwenye Changomoto za kunyimwa misaada na EU ila bado kang’ang’ana
 
Hapa enyewe tupo kwenye Changomoto za kunyimwa misaada na EU ila bado kang’ang’ana
Hata bila misaada ya nje watu bado wanatanua kwa pesa za ndani ya nchi, Mishahara na posho za wajiriwa serikalini haijapungua, ruhusa ya kula kwa urefu wa kamba bado ipo,
 
Mpenzi mtazamaji awezi kukaa nawe njaa ikikupataa ..lzm atakuacha nakutafuta malisho mema..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…