Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Lake zone,Western Zone na Kanda ya Ziwa Hawa watu wako wengi sana wamegeuza ni kwao ,na hisi watu wa uhamiaji wanachukua mlungula.View attachment 2683653Kwa wafanyabiashara wa karanga kutoka Kahama kwenda Rwanda, hakika watakuwa wanamfahamu mwamba huyo.
Nimeshangaa kumuona ndani ya vazi la kazi la jeshi la nchi fulani tena kama Lt Col!
Tunaposema miji kama Ngara, Nyakahura, Nyakanazi, Runzewe, Ushirombo, Kahama, Kagongwa, Isaka, Shinyanga, Mwanza, Tabora, Singida na karibia Nchi nzima wameenea, muwe mnatuelewa!
Ama kweli vita vya medani, ni hatari!
Hadi Mpeta? Duu Sasa sijui Tiss Wetu wanalielewa hili au inakuajeMimi nilimfahamu zamani kama mtu wa upelelezi wa Rwanda, na nilikua nakutana nae sana bijampora na moclay, na niliwahi kuleta uzi hapa jukwaani kua maspy wa Uganda, Rwanda hua wanaingia Tanzania kama wafanyabiashara, na niliwahi kutoa hadi ushahidi kua Rwanda, uganda na burundi serikali hutoa mamilioni ya pesa kwa baadhi ya wanausalama wao na kuingia nchini hadi vijijini kununua mazao hasa ya chakula ili kulinda usalama wa chakula kwenye nchi zao na kama ukiacha kahama wanausalama hao wako hadi ifakara, kasulu, mpanda, sumbawanga, kibondo, mpeta, mbeya, kibaigwa na maeneo mengine mengi lakini huingia kama wajasiliamali, huo ndio ukweli
Hadi Mpeta? Duu Sasa sijui Tiss Wetu wanalielewa hili au inakuaje
Acheni uoga, nchi iko salama
duuh no wonder zile pangaa za mauaji ya kimbari wanadai zilipitia hapaaa...noma sanaKote huko na wapelelezi wengine hasa wanyarwanda ni madreva wa malori yaendayo bandarini kuchukua mizigo kutoa dar to rwanda, na wengine maspy wanapiga ruti za makaa ya mawe mbinga to kigali haya yote hufahamika muda mrefu sana , sema hua nikileta uzi hapa wanafuta faster kuna siku niliwasema sana uhamiaji hapa wakanipiga na ban
Kuna tofauti gani kati ya Lake Zone na Kanda ya Ziwa?Lake zone,Western Zone na Kanda ya Ziwa Hawa watu wako wengi sana wamegeuza ni kwao ,na hisi watu wa uhamiaji wanachukua mlungula.
duuh no wonder zile pangaa za mauaji ya kimbari wanadai zilipitia hapaaa...noma sana
Typing errorKuna tofauti gani kati ya Lake Zone na Kanda ya Ziwa?
Tunza Siri kamanda.sisi tuna maspy mpaka sauzi kwa madiba sembuse nchi jirani