Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Bijampola pale palikuwa na malaya wengi sana wa kinyarwanda pamoja na bar maids. Kahama kuna wanyarwanda wengi mno. lakini woote hao hawana madhara kwetu, ndio maana hata tulipoamua kupiga operation kimbunga, walistukizwa tu hata kabla hawajajiandaa wakaanza kupokea refugee toka Tanzania wenye asili ya kinyarwanda. nadhani hawatakuja kusahau kile kivumbi. na yale mang'ombe yao walikuwa wanauza sawa na bure, walipata hasara ya kutosha na wataishi na Tanzania kwa akili.Mimi nilimfahamu zamani kama mtu wa upelelezi wa Rwanda, na nilikua nakutana nae sana bijampora na moclay, na niliwahi kuleta uzi hapa jukwaani kua maspy wa Uganda, Rwanda hua wanaingia Tanzania kama wafanyabiashara, na niliwahi kutoa hadi ushahidi kua Rwanda, uganda na burundi serikali hutoa mamilioni ya pesa kwa baadhi ya wanausalama wao na kuingia nchini hadi vijijini kununua mazao hasa ya chakula ili kulinda usalama wa chakula kwenye nchi zao na kama ukiacha kahama wanausalama hao wako hadi ifakara, kasulu, mpanda, sumbawanga, kibondo, mpeta, mbeya, kibaigwa na maeneo mengine mengi lakini huingia kama wajasiliamali, huo ndio ukweli
hivi, wewe kama tembo, kindege kikikaa mgongoni mwako na hakina hata uwezo wa kukuua kuna shida gani? si kitasaidia kuondoa kupe? kwa taarifa yako, wao wapo hapa na sisi tupo kule kwao, ngome drooo.