nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Zamani tulikuwa wa 3 dunianiSema tunatakiwa kua giant kwenye upelelezi, kuliko kawaida
Sasa hivi wanafunzi wetu wametupita kwa mbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zamani tulikuwa wa 3 dunianiSema tunatakiwa kua giant kwenye upelelezi, kuliko kawaida
Neno zima.. .. !Usalama ilikuwa ya enzi za Mwalimu. Kwanza Tanganyika na Zanzibar zikaungana, nchi ikapitia changamoto ya seating President wa Zanzibar kuuwawa tena Rais wa kwanza, mara Jumbe akafungwa kifungo cha ndani.
Baadae tukaingia kwenye ujamaa jambo la kuchukizwa na Westerns. Pia tukasaidia harakati za ukombozi wa nchi za Afrika tukawachukiza hasa South Africa na Northern Rhodesia na Portugal. Hao wote wakawa maadui zetu na taasisi zao za usalama zikawa zinatutafuta hasahasa BOSS ya South Africa iliyokuwa nzuri sana ya level za kimataifa. Uko kote tukachomoka.
Bado kuna tishio la mapinduzi la kina Hans Pope. Labda ile mutiny iliyozimwa na Kambona ndio ilikuwa bahati ila mambo mengine ilikuwa ni counter-intelligence. Hatutokaa tuwe na usalama wa taifa bora kama kipindi kile, ashukuriwe hasa kizazi cha Emilio Mzena.
Siku hizi tunao akina "unanijua mimi ni nani" unashangaa nini kuona informers wa majirani. Hadi JWTZ wapo. Alafu cha ajabu sio kwamba hawajulikani wala tetesi hamna, tetesi zipo na taasisi ikitaka kuwa serious mbona wanakamatwa kwani wana maajabu gani. Ila kawaida ya mswahili ni kuwa na mapuuza
Itakuwa hao ni wana usalama wa chakula huko nchini kwaoMimi nilimfahamu zamani kama mtu wa upelelezi wa Rwanda, na nilikua nakutana nae sana bijampora na moclay, na niliwahi kuleta uzi hapa jukwaani kua maspy wa Uganda, Rwanda hua wanaingia Tanzania kama wafanyabiashara, na niliwahi kutoa hadi ushahidi kua Rwanda, uganda na burundi serikali hutoa mamilioni ya pesa kwa baadhi ya wanausalama wao na kuingia nchini hadi vijijini kununua mazao hasa ya chakula ili kulinda usalama wa chakula kwenye nchi zao na kama ukiacha kahama wanausalama hao wako hadi ifakara, kasulu, mpanda, sumbawanga, kibondo, mpeta, mbeya, kibaigwa na maeneo mengine mengi lakini huingia kama wajasiliamali, huo ndio ukweli
Tunaposema miji kama Ngara, Nyakahura, Nyakanazi, Runzewe, Ushirombo, Kahama, Kagongwa, Isaka, Shinyanga, Mwanza, Tabora, Singida na karibia Nchi nzima wameenea, muwe mnatuelewa![emoji419][emoji375]Kwa wafanyabiashara wa karanga kutoka Kahama kwenda Rwanda, hakika watakuwa wanamfahamu mwamba huyo.
Nimeshangaa kumuona ndani ya vazi la kazi la jeshi la nchi fulani tena kama Lt Col!
Tunaposema miji kama Ngara, Nyakahura, Nyakanazi, Runzewe, Ushirombo, Kahama, Kagongwa, Isaka, Shinyanga, Mwanza, Tabora, Singida na karibia Nchi nzima wameenea, muwe mnatuelewa!
Ama kweli vita vya medani, ni hatari!
View attachment 2683680
Acha waje tufanye biashara ya mazaoMimi nilimfahamu zamani kama mtu wa upelelezi wa Rwanda, na nilikua nakutana nae sana bijampora na moclay, na niliwahi kuleta uzi hapa jukwaani kua maspy wa Uganda, Rwanda hua wanaingia Tanzania kama wafanyabiashara, na niliwahi kutoa hadi ushahidi kua Rwanda, uganda na burundi serikali hutoa mamilioni ya pesa kwa baadhi ya wanausalama wao na kuingia nchini hadi vijijini kununua mazao hasa ya chakula ili kulinda usalama wa chakula kwenye nchi zao na kama ukiacha kahama wanausalama hao wako hadi ifakara, kasulu, mpanda, sumbawanga, kibondo, mpeta, mbeya, kibaigwa na maeneo mengine mengi lakini huingia kama wajasiliamali, huo ndio ukweli
Mtaje hapa watu wajifunzeKuna boss mkubwa wa TRA alikuwa mpelelezi waoooo akarudi kwao na sasaana cheo kubwa World bank
Hiyo kimbunga ilikuwa balaa, hata kama wangejua hawakuwa na la kufanya zaidi ya kuwa wapole tuBijampola pale palikuwa na malaya wengi sana wa kinyarwanda pamoja na bar maids. Kahama kuna wanyarwanda wengi mno. lakini woote hao hawana madhara kwetu, ndio maana hata tulipoamua kupiga operation kimbunga, walistukizwa tu hata kabla hawajajiandaa wakaanza kupokea refugee toka Tanzania wenye asili ya kinyarwanda. nadhani hawatakuja kusahau kile kivumbi. na yale mang'ombe yao walikuwa wanauza sawa na bure, walipata hasara ya kutosha na wataishi na Tanzania kwa akili.
hivi, wewe kama tembo, kindege kikikaa mgongoni mwako na hakina hata uwezo wa kukuua kuna shida gani? si kitasaidia kuondoa kupe? kwa taarifa yako, wao wapo hapa na sisi tupo kule kwao, ngome drooo.
Umesema ukweli kabisa!Mimi nilimfahamu zamani kama mtu wa upelelezi wa Rwanda, na nilikua nakutana nae sana bijampora na moclay, na niliwahi kuleta uzi hapa jukwaani kua maspy wa Uganda, Rwanda hua wanaingia Tanzania kama wafanyabiashara, na niliwahi kutoa hadi ushahidi kua Rwanda, uganda na burundi serikali hutoa mamilioni ya pesa kwa baadhi ya wanausalama wao na kuingia nchini hadi vijijini kununua mazao hasa ya chakula ili kulinda usalama wa chakula kwenye nchi zao na kama ukiacha kahama wanausalama hao wako hadi ifakara, kasulu, mpanda, sumbawanga, kibondo, mpeta, mbeya, kibaigwa na maeneo mengine mengi lakini huingia kama wajasiliamali, huo ndio ukweli
Mtaje hapa watu wajifunz
Kuna member wa Teeth ambaye ni lecture wa chuo kinachotoa mabalozi ukimuuliza utapata jibuMtaje hapa watu wajifunze
attach huo uzi mkuuMimi nilimfahamu zamani kama mtu wa upelelezi wa Rwanda, na nilikua nakutana nae sana bijampora na moclay, na niliwahi kuleta uzi hapa jukwaani kua maspy wa Uganda, Rwanda hua wanaingia Tanzania kama wafanyabiashara, na niliwahi kutoa hadi ushahidi kua Rwanda, uganda na burundi serikali hutoa mamilioni ya pesa kwa baadhi ya wanausalama wao na kuingia nchini hadi vijijini kununua mazao hasa ya chakula ili kulinda usalama wa chakula kwenye nchi zao na kama ukiacha kahama wanausalama hao wako hadi ifakara, kasulu, mpanda, sumbawanga, kibondo, mpeta, mbeya, kibaigwa na maeneo mengine mengi lakini huingia kama wajasiliamali, huo ndio ukweli
Huyo itakuwa kaambiwa baba yake halisi sie huyoWanyarwanda wote niliowahi fahamiana nao huwa wanajikuta wao ndio mabingwa wa Afrika Mashariki na kujisifia nchi yao ya maana sana. Kuna huyo mmoja baba yake Msukuma na mama ndio Rwandese ila ajabu jamaa anajiita Mnyarwanda wakati Kisukuma anaongea na kilugha chao hajui.
Rwandese hasa Tutsi haijalishi kazaliwa Tanzania na baba yake kazaliwa Tanzania, haijalishi maisha yake yote hajawahi kanyaga Rwanda ila utaona anajiita Mnyarwanda na anaichukia Tanzania.
Tujiulize kwanini Banyamurenge wachukiwe wao tu wakati Congo kuna wahamiaji kutoka kila nchi jirani, kuna sababu za msingi.
Kuna tatizo gani mfanyabishara mkubwa wa mazao kupewa cheo jeshiniKwa wafanyabiashara wa karanga kutoka Kahama kwenda Rwanda, hakika watakuwa wanamfahamu mwamba huyo.
Nimeshangaa kumuona ndani ya vazi la kazi la jeshi la nchi fulani tena kama Lt Col!
Tunaposema miji kama Ngara, Nyakahura, Nyakanazi, Runzewe, Ushirombo, Kahama, Kagongwa, Isaka, Shinyanga, Mwanza, Tabora, Singida na karibia Nchi nzima wameenea, muwe mnatuelewa!
Ama kweli vita vya medani, ni hatari!
View attachment 2683680
Nchi kuna wageni kibao na wengine wako sekta nyeti,nchi imekuwa nyepesi sana
Ova