Hii ndio bongo zuzuMimi nilimfahamu zamani kama mtu wa upelelezi wa Rwanda, na nilikua nakutana nae sana bijampora na moclay, na niliwahi kuleta uzi hapa jukwaani kua maspy wa Uganda, Rwanda hua wanaingia Tanzania kama wafanyabiashara, na niliwahi kutoa hadi ushahidi kua Rwanda, uganda na burundi serikali hutoa mamilioni ya pesa kwa baadhi ya wanausalama wao na kuingia nchini hadi vijijini kununua mazao hasa ya chakula ili kulinda usalama wa chakula kwenye nchi zao na kama ukiacha kahama wanausalama hao wako hadi ifakara, kasulu, mpanda, sumbawanga, kibondo, mpeta, mbeya, kibaigwa na maeneo mengine mengi lakini huingia kama wajasiliamali, huo ndio ukweli
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app