ilore
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 963
- 1,248
Hilo halizuiliki na Wala sio ajabu duniani kote iko hivyo hata sisi tuna majasusi wengi Sana wako kwenye hizo inchi wanafanya yao na wengine Wana maduka kabisa kwa hiyo Hilo lisikuumize kichwa.hatuko kiboya Kama unavyofikiriaKwa wafanyabiashara wa karanga kutoka Kahama kwenda Rwanda, hakika watakuwa wanamfahamu mwamba huyo.
Nimeshangaa kumuona ndani ya vazi la kazi la jeshi la nchi fulani tena kama Lt Col!
Tunaposema miji kama Ngara, Nyakahura, Nyakanazi, Runzewe, Ushirombo, Kahama, Kagongwa, Isaka, Shinyanga, Mwanza, Tabora, Singida na karibia Nchi nzima wameenea, muwe mnatuelewa!
Ama kweli vita vya medani, ni hatari!
View attachment 2683680