Kuna warundi wengi wako ifakara, mtwara, chunya , walipewa kadi za kupigia kura na wengine namba za nida kwa kutoa pesa kidogo kwa watendaji wetu wa vijiji, wakaingia kama waha , na wako wanapiga kazi na washakua watanzania wanamiliki ardhi kama kawaida na niliwahi kusema hapa baadhi ya mbinu inayotumika kwa mrundi kusafiri kufika kiwandani kwa dangote kua kibarua au ifakara kufanya kazi za shamba ni kuvaa jezi za simba na yanga kwa zamani ukimvisha hivo iwe kibiti mashambani, rufiji, ikwiriri, utete kote huko unafika nae vizuri, sijui mamlaka ziliewa au vipi, kila unachoona naandika hapa nakielewa 100% , hata uende igawa pale kwa wauza maji utawakuta watu wanaitwa waha lakini ni warundi kabisa, sema kwakua hawana tishio labda la usalama lakini ingekua enzi za ujambazi mzito kama enzi ya igp mahita, ambush labda wangefanya, kibaya wanaoingia kinyemela wengine wana nia mbaya na wengine hawana nia mbaya