Huyo mwamba alishawahi kuwa mnunua karanga Kahama leo ni Ltn Col wa RDF

Huyo mwamba alishawahi kuwa mnunua karanga Kahama leo ni Ltn Col wa RDF

Ngoja tubinafsishe kwanza bandari, DP world wakiingia ndio utajua kwa nini DP world haohao wamejenga bandari kavu kigali, hapo utaona nguvu ya waasi mashariki mwa DRC haitotulia maana supply ya silaha itakua ya uhakika lakini ndugu zetu tukitumia code ya vipi usalama ukoje? Hawajibu wanatoa sababu za kitoto, kagame kawafahamu DP world kabla yenu na kuna madirector wa DP world kwa bongo watakua ma senior spies from rwanda, tunza hii kumbukumbu
Ninge never come twice, it's sad
 
Kila nchi ina maspy kwenye nchi nyingine kwa Rwanda lazima awepo zaidi Tanzania maana ana maslahi mapana sana na nchi hii na zaidi pia Congo DR lazima asambae sana , ukumbuke kila mnyarwanda utaemuona Tanzania hata kama kazaliwa karagwe , muleba, biharamuro, geita, runzewe, nyakanazi, akivuka rusumo anakua na haki sawa na mnyarwanda aliezaliwa rwanda kura anapiga na documents nyingine nyingi anapata bure kabisa, na ndio maana kagame ana uraia wa uganda kamili na rwanda maana aliwahi kua head of intelligence wa uganda mapema kabisa kipindi museveni anaingia madarakani
Wanyarwanda wote niliowahi fahamiana nao huwa wanajikuta wao ndio mabingwa wa Afrika Mashariki na kujisifia nchi yao ya maana sana. Kuna huyo mmoja baba yake Msukuma na mama ndio Rwandese ila ajabu jamaa anajiita Mnyarwanda wakati Kisukuma anaongea na kilugha chao hajui.

Rwandese hasa Tutsi haijalishi kazaliwa Tanzania na baba yake kazaliwa Tanzania, haijalishi maisha yake yote hajawahi kanyaga Rwanda ila utaona anajiita Mnyarwanda na anaichukia Tanzania.
Tujiulize kwanini Banyamurenge wachukiwe wao tu wakati Congo kuna wahamiaji kutoka kila nchi jirani, kuna sababu za msingi.
 
Banyamulenge ni pure rwandees, na connection ya mnyarwanda ni hatari na wana umoja mkubwa sana usishangae mtutsi wa mwese anajitafuta kumchangia sultan makenga pale goma wakati yeye yuko Tanzania
 
Mimi nilimfahamu zamani kama mtu wa upelelezi wa Rwanda, na nilikua nakutana nae sana bijampora na moclay, na niliwahi kuleta uzi hapa jukwaani kua maspy wa Uganda, Rwanda hua wanaingia Tanzania kama wafanyabiashara, na niliwahi kutoa hadi ushahidi kua Rwanda, uganda na burundi serikali hutoa mamilioni ya pesa kwa baadhi ya wanausalama wao na kuingia nchini hadi vijijini kununua mazao hasa ya chakula ili kulinda usalama wa chakula kwenye nchi zao na kama ukiacha kahama wanausalama hao wako hadi ifakara, kasulu, mpanda, sumbawanga, kibondo, mpeta, mbeya, kibaigwa na maeneo mengine mengi lakini huingia kama wajasiliamali, huo ndio ukweli
Nimekumbukaa Songea vijijini, wakati huo niko kwa bibi, kulikua na mnunua maharagee, yule jamaa km sio wa Burundi bas ni Rwanda, kuna siku ndo kaja kwa bibi kumuulizia baba mdogo couz alikua km msaidizi wake wa kumtafutia maharage pale kijijini.

Sasa kaja anaongea kiswahili japo hawezi sana, ila lafudhi yake ilikua tofauti kabisaa, sasa bibi akanambia nimpeleke aliko baba mdogo, tuko njiani akapigiwa cm, asianze kuongea kikwao, mie nkawa najiuliza lugha gan hii mbna sio ya makabila ya kitanzania.

Alipo maliza kuongea nkamuuliza lugha yenu inaitwajee hiyo maana hata sielewi ulichoongea, hakunijibu akabadilisha mada, mie nilikua cna mda wa kuhoji sana, alivomaliza ununuzi wake pale kijijini alisepaa zake.
 
Wawekezaji wengi Duniani wametumwa Idara za Upelelezi za nchi kubwa Duniani na wanapeleka Taarifa zote za kiupelelezi Kwa nchi hizo.

Mfano waChina wengi waliopo Afrika ni ama askari au wafungwa .

Mlishudia jinsi kada wa CCM na mwekezaji marehemu Hamza alivyokua mahiri katika kuitumia AK47
Mbona bibi yangu ana miaka 100 na ni mahiri kutumia AK47 na anaweza kulenga shabaha kwa kunyuma huku akikimbia akiilaza juu chini bunduki begani.
 
Nimekumbukaa Songea vijijini, wakati huo niko kwa bibi, kulikua na mnunua maharagee, yule jamaa km sio wa Burundi bas ni Rwanda, kuna siku ndo kaja kwa bibi kumuulizia baba mdogo couz alikua km msaidizi wake wa kumtafutia maharage pale kijijini.

Sasa kaja anaongea kiswahili japo hawezi sana, ila lafudhi yake ilikua tofauti kabisaa, sasa bibi akanambia nimpeleke aliko baba mdogo, tuko njiani akapigiwa cm, asianze kuongea kikwao, mie nkawa najiuliza lugha gan hii mbna sio ya makabila ya kitanzania.

Alipo maliza kuongea nkamuuliza lugha yenu inaitwajee hiyo maana hata sielewi ulichoongea, hakunijibu akabadilisha mada, mie nilikua cna mda wa kuhoji sana, alivomaliza ununuzi wake pale kijijini alisepaa zake.

Yes hua wanafanya hivo na wako well organised, utawakuta songea mjini, mpitimbi, hanga mwanaster, litembo, makangawe, mbinga, tunduru, kitanda, mputa, mbambabey, utakula nao mbufu, mbelele na ugali wa muhogo vizuri wenzio wako kazini, kama ulisiki anasema amakuru, murakomeye, mumezemute, turaho alikua anaongea kinyarwanda ambapo lugha hiyo hufanana zaidi na kirundi, kihangaza, kiha na kinyankore na hao wote huelewana wakiongea inabaki tu mmoja huongea kwa kuvuta herufi na mwingine hufupisha herufi lakini wanaelewana vyema
 
trust me, intelligensia yetu ipo juu yao mbali. intelijensi nguvu yake ni pesa tu, kule kule Rwanda kuna wanyarwanda wenye sura za kitusi kabisa ambao wanaipeleleza nchi yao wenyewe na kuleta taarifa hata kwetu, cha muhimu ni pesa tu. pia, ukiwa na maadui wengi nchini kwako jiandae kuwa na raia wengi watakaofanya intelijensia kwa ajili ya majirani zako. wapinzani wa kageme ni wengi mno hata wa kabila lake la kitusi. ukiongea nao chap wanakuwa wanakuletea taarifa wakidhani kuna siku ataondolewa ili waishi kwa raha. nchi yetu ipo vizuri.

hapo kwenye pesa nakataa japo wapo wanaoweza kukuuzia taarifa japo sio wengi au wasiwepo kabisa kulingana na uaminifu waliojengwa nao.

Huwezi kupandikiza jasusi wa Kitanzania kwenye corridor za Rwanda akawa salama zama hizi maana jamaa wana muonekano wao tofauti sana na sisi, japo kwetu tunao ndugu zetu waliofanana na wao na ni hapo jamaa wanapotumia advantage kupandikiza ndugu zao huku kwetu.

Mtanzania huwezi kuwa ndani ya jeshi la ROF au Usalama wa Rwanda ukatoboa labda mnyarwada mwenye interest binafsi aasi kwa malengo yake binafsi ndio alink na sisi huku.

PK amejenga uaminifu kwanza kwa vijana wake pamoja na kiapo, sisi tunaamini kwenye kiapo kuliko kujenga uzalendo kutoka chini, uzalendo kweli wa nchi sio chama.
 
Sina maana mbaya lakin JE, hiv USALAMA WA TAIFA wanaweza wakawa ni WAJINGA kiasi hiki??
Je kama hiz taarifa ziko waz namna hii humu mtaani na uchambuzi kama wafanyavyo wananchi hawa akina Arovera na chapwa24 and the likes, je wao hawako informed na kaz yao ni ku deal na information daily?

Hiv kabisaa UZALENDO umekosekana kila mahala kwa figure nyeti like wakuu wa vyombo vya usalama vyote???
 
kuanzia awamu ya pili, tumeendekeza sana maisha ya siasa za UCCM kuliko maslahi ya Taifa, HAPA NDIPO TULIPOHARIBIKIWA NA KUTENGENEZA MIANYA MINGI ambayo si ajabu imetuacha uchi.

Siasa imetuharibu sana na hata kufanya maeneo mengi watu kuwekana wekana bila kufuata vigezo pa mahala husika, matokeo yake tunajikuta tumejeza akili dhaifu maeneo mengi ambazo zinalinda maslahi ya chama kwa gharama yeyote.
 
Ndio dunia ilivo kuna mbinu nyingi za kufanya upelelezi kwa mfano ukiwa kigali kamwe huwezi kudivert call! Lakini ukiwa bongo divertion unafanya kama kawaida, ndio maana ulisikia magufuli hata samia wanawasifu ma IT wa Rwanda haikua bahati mbaya kabisa, kwenye teknolojia jamaa wako mbali, hata rekodi za mazungumzo ya simu ya viongozi wako yalichukuliwa kutokea Rwanda then magufuli akamwagiwa ndio akachanganyikiwa
Unasifia na kuongeza uongo ili iwe nini! Eti hata rekodi ya mazungumzo ya simu yalichukuliwa tokea Rwanda! Kama huyo mbwa wenu ana uwezo huo mnaompa mbona kashindwa kumfanya chochote Kikwete pamoja na vitisho vyote alivyompa!
 
Kila nchi ina maspy kwenye nchi nyingine kwa Rwanda lazima awepo zaidi Tanzania maana ana maslahi mapana sana na nchi hii na zaidi pia Congo DR lazima asambae sana , ukumbuke kila mnyarwanda utaemuona Tanzania hata kama kazaliwa karagwe , muleba, biharamuro, geita, runzewe, nyakanazi, akivuka rusumo anakua na haki sawa na mnyarwanda aliezaliwa rwanda kura anapiga na documents nyingine nyingi anapata bure kabisa, na ndio maana kagame ana uraia wa uganda kamili na rwanda maana aliwahi kua head of intelligence wa uganda mapema kabisa kipindi museveni anaingia madarakani
Mungu ibariki Rwanda
 
Yes hua wanafanya hivo na wako well organised, utawakuta songea mjini, mpitimbi, hanga mwanaster, litembo, makangawe, mbinga, tunduru, kitanda, mputa, mbambabey, utakula nao mbufu, mbelele na ugali wa muhogo vizuri wenzio wako kazini, kama ulisiki anasema amakuru, murakomeye, mumezemute, turaho alikua anaongea kinyarwanda ambapo lugha hiyo hufanana zaidi na kirundi, kihangaza, kiha na kinyankore na hao wote huelewana wakiongea inabaki tu mmoja huongea kwa kuvuta herufi na mwingine hufupisha herufi lakini wanaelewana vyema
Muhukuru bas walikuwepo hao, wale madereva wa makaa ya mawe.
Kuna m1 ndo alikua anaonesha kabisa km ni mrwanda kwa physical appearance, sema wengi hawakujua.

Ila mie nilivyokua namuona nkawa najisemea huyu ni mnyarwanda kabisaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alikua malayaa sana, km alikua na ukimwii bas kamaliza wengi.
 
Sina maana mbaya lakin JE, hiv USALAMA WA TAIFA wanaweza wakawa ni WAJINGA kiasi hiki??
Je kama hiz taarifa ziko waz namna hii humu mtaani na uchambuzi kama wafanyavyo wananchi hawa akina Arovera na chapwa24 and the likes, je wao hawako informed na kaz yao ni ku deal na information daily?

Hiv kabisaa UZALENDO umekosekana kila mahala kwa figure nyeti like wakuu wa vyombo vya usalama vyote???

Kuna warundi wengi wako ifakara, mtwara, chunya , walipewa kadi za kupigia kura na wengine namba za nida kwa kutoa pesa kidogo kwa watendaji wetu wa vijiji, wakaingia kama waha , na wako wanapiga kazi na washakua watanzania wanamiliki ardhi kama kawaida na niliwahi kusema hapa baadhi ya mbinu inayotumika kwa mrundi kusafiri kufika kiwandani kwa dangote kua kibarua au ifakara kufanya kazi za shamba ni kuvaa jezi za simba na yanga kwa zamani ukimvisha hivo iwe kibiti mashambani, rufiji, ikwiriri, utete kote huko unafika nae vizuri, sijui mamlaka ziliewa au vipi, kila unachoona naandika hapa nakielewa 100% , hata uende igawa pale kwa wauza maji utawakuta watu wanaitwa waha lakini ni warundi kabisa, sema kwakua hawana tishio labda la usalama lakini ingekua enzi za ujambazi mzito kama enzi ya igp mahita, ambush labda wangefanya, kibaya wanaoingia kinyemela wengine wana nia mbaya na wengine hawana nia mbaya
 
Mimi nilimfahamu zamani kama mtu wa upelelezi wa Rwanda, na nilikua nakutana nae sana bijampora na moclay, na niliwahi kuleta uzi hapa jukwaani kua maspy wa Uganda, Rwanda hua wanaingia Tanzania kama wafanyabiashara, na niliwahi kutoa hadi ushahidi kua Rwanda, uganda na burundi serikali hutoa mamilioni ya pesa kwa baadhi ya wanausalama wao na kuingia nchini hadi vijijini kununua mazao hasa ya chakula ili kulinda usalama wa chakula kwenye nchi zao na kama ukiacha kahama wanausalama hao wako hadi ifakara, kasulu, mpanda, sumbawanga, kibondo, mpeta, mbeya, kibaigwa na maeneo mengine mengi lakini huingia kama wajasiliamali, huo ndio ukweli
Na kwa kufanya hivyo, kama wanafuata taratibu za nchi, hawajavunja sheria. Kununua na kuuza kwa halali ni biashara. Anafanya nani, hiyo ni suala lingine
 
Back
Top Bottom