Huyo mwamba alishawahi kuwa mnunua karanga Kahama leo ni Ltn Col wa RDF

Huyo mwamba alishawahi kuwa mnunua karanga Kahama leo ni Ltn Col wa RDF

Hakuna wakati Tanzania inatoa namba za NIDA kwa Warundi wengi kama wakati huu na sababu ni ile ile Makamu wa Rais anatokea Kigoma.
Duu kwamba damu ni nzito kuliko Maji? Niliwahi kuona taarifa BBC jinsi warundi walifurahia Mpango kuwa VP na pia alifanya ziara walimpa heshima kubwa..

Sasa Kila nikiitafuta iliondilewa hivyo nimeshindwa kuandaa Uzi bila ushahidi ila nilisikia Kwa maskio yangu.
 
Natumaini hata wa kwetu wapo huko kwao, tena wako na mission kubwa kuliko hizi za kwao hapa kwetu.

Hata mataifa makubwa hayajaweza kuzuia moja kwa moja majasusi kuingia katika ardhi yao, Marekani kuna majasusi wa china urusi na kwingineko, kadhalika na huko china na kwingineko kuna majasusi wa kimarekani.

Kwa hio sio ajabu sana kukuta majasusi wa kirwanda na kwingineko wapo kwetu, ila ajabu itakuwa kama wakwetu hawapo kwao au kwetu tutakuwa rahisi taarifa kuvuja kwao .
 
Wanyarwanda wote niliowahi fahamiana nao huwa wanajikuta wao ndio mabingwa wa Afrika Mashariki na kujisifia nchi yao ya maana sana. Kuna huyo mmoja baba yake Msukuma na mama ndio Rwandese ila ajabu jamaa anajiita Mnyarwanda wakati Kisukuma anaongea na kilugha chao hajui.

Rwandese hasa Tutsi haijalishi kazaliwa Tanzania na baba yake kazaliwa Tanzania, haijalishi maisha yake yote hajawahi kanyaga Rwanda ila utaona anajiita Mnyarwanda na anaichukia Tanzania.
Tujiulize kwanini Banyamurenge wachukiwe wao tu wakati Congo kuna wahamiaji kutoka kila nchi jirani, kuna sababu za msingi.
Maana yake ni kuwa Tanzania hasa Tanganyika haina kitu maalum cha kujivunia katika dunia ya leo. There is simply no national pride.

Watu hujivunia nchi yenye alama kubwa za maendeleo; nchi inayotambulika kwa sifa maalum duniani. Ndio maana hata ndugu zetu wa zenji hujitambulisha zaidi kwa uraia wa Zanzibar kuliko wa Tanzania.
 
Wakati huo Rwanda haina cha kujivunia ukiachana na mauaji ya kimbali. Rwanda ina kipi cha kujivunia kuzidi Tanzania ambacho ndio unadai wanatumia?
 
Doohh!!! Kwamba Tz haifahamiki kuliko Rwanda!.
Maajab haya
Harakati za propaganda za Kagame kuinasibu Rwanda kimataifa si za mchezo. Huku kwetu siasa za ndani za madaraka na upigaji wa kidola (kleptocracy) ndizo kila kitu.

Tumewaachia Kenya na Zanzibar kuvuma kimataifa kupitia rasilimali zetu. Hatuna mkakati makini wa kitaifa wa kujiinua kimataifa. Kila anayeingia madarakani anakuja na yake kwa maslahi binafsi ya familia yake na genge lake basi.
 
Tz is very known compared to them all ila ni kwel TZ tuna viongozi wapumbavu haswaaaa
 
Mimi nilimfahamu zamani kama mtu wa upelelezi wa Rwanda, na nilikua nakutana nae sana bijampora na moclay, na niliwahi kuleta uzi hapa jukwaani kua maspy wa Uganda, Rwanda hua wanaingia Tanzania kama wafanyabiashara, na niliwahi kutoa hadi ushahidi kua Rwanda, uganda na burundi serikali hutoa mamilioni ya pesa kwa baadhi ya wanausalama wao na kuingia nchini hadi vijijini kununua mazao hasa ya chakula ili kulinda usalama wa chakula kwenye nchi zao na kama ukiacha kahama wanausalama hao wako hadi ifakara, kasulu, mpanda, sumbawanga, kibondo, mpeta, mbeya, kibaigwa na maeneo mengine mengi lakini huingia kama wajasiliamali, huo ndio ukweli
TUMELALA KIASI HICHO???!!!...
Tanzania yetu 🇹🇿....
 
Back
Top Bottom