ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,451
- 2,348
We ndo umeongea Sasa,intelejensia ni pesa tu.ukiwa na pesa utanunua watu na taarifa zote uzitakazo utazipatq,ukisikia super power jua pesa yake inaongea,trust me, intelligensia yetu ipo juu yao mbali. intelijensi nguvu yake ni pesa tu, kule kule Rwanda kuna wanyarwanda wenye sura za kitusi kabisa ambao wanaipeleleza nchi yao wenyewe na kuleta taarifa hata kwetu, cha muhimu ni pesa tu. pia, ukiwa na maadui wengi nchini kwako jiandae kuwa na raia wengi watakaofanya intelijensia kwa ajili ya majirani zako. wapinzani wa kageme ni wengi mno hata wa kabila lake la kitusi. ukiongea nao chap wanakuwa wanakuletea taarifa wakidhani kuna siku ataondolewa ili waishi kwa raha. nchi yetu ipo vizuri.