Huyo mwamba alishawahi kuwa mnunua karanga Kahama leo ni Ltn Col wa RDF

Neno zima.. .. !

Nadhani Kuna jeshi linatengenezwa na "wale "ndani jeshi. Taratibu na pole pole sana.. ...! Yule aliyechomoka Kama hakuna macho macho chomboni.. alinifanya nifikirie Mara nne..tatizo lipo
 
Itakuwa hao ni wana usalama wa chakula huko nchini kwao
 
Tunaposema miji kama Ngara, Nyakahura, Nyakanazi, Runzewe, Ushirombo, Kahama, Kagongwa, Isaka, Shinyanga, Mwanza, Tabora, Singida na karibia Nchi nzima wameenea, muwe mnatuelewa![emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha waje tufanye biashara ya mazao
 
Hiyo kimbunga ilikuwa balaa, hata kama wangejua hawakuwa na la kufanya zaidi ya kuwa wapole tu
 
Umesema ukweli kabisa!
 
attach huo uzi mkuu
 
Huyo itakuwa kaambiwa baba yake halisi sie huyo
 
Kuna tatizo gani mfanyabishara mkubwa wa mazao kupewa cheo jeshini
 
Nchi kuna wageni kibao na wengine wako sekta nyeti,nchi imekuwa nyepesi sana

Ova

Hapana sio kweli. Na hicho ni kitu kisichoweza kukwepeka. Lazima kuoana, kuwa na mipaka karibu, kuwa na muingiliano wa kibiashara au kusoma etc kutafanya jamii iwe na watu wa aina, rangi, dini, makabila tofauti tofauti.
Kazi kubwa ni kuhakikisha wanaoajiriwa ni waadilifu na waaminifu. Hilo halijalishi mtu ametokea wapi. Ndio maana ukiangalia spies waliouza habari nyeti, wengi hawakuwa strangers. Ni watu wa nchi zao kabisa na walionekana safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…