Huyu abiria wa Mwendokasi kanikera sana, Wabongo tutaacha lini hizi tabia za kueleza mambo binafsi kwenye "public"?

Mswahili na mshamba ni huyo mleta mada kudakia yasiyomhusu na kuyaleta humu
Acheni kupayuka kwenye mabasi, hakuna mtu anataka kusikia hizo stori zenu za kimasikini.

Hasa nyie WAHA wabishi afu wafupi kama ndulele.
 
Kuna mdada aliwah simuliwa alivyobakwa akawa anamsimulia jamaa waliekuwa wamekaa siti moja bila shaka walikuwa wanafahamiana,nilishangaa kuona anasimulia hcho kitu pasipo aibu hata kidogo
 
Acheni kupayuka kwenye mabasi, hakuna mtu anataka kusikia hizo stori zenu za kimasikini.

Hasa nyie WAHA wabishi afu wafupi kama ndulele.
Kwa nini upande basi lenye nauli za kimaskini ? Kodi taxi

Pesa yako ya nini sasa?
.Unataka huduma first class kama ya hoteli ya kitalii ukienda kula kwa mama Ntilie anayeuza wal .maharage sahani shilingi 500?.Unataka uwekewe Ac na feni na makochi ya kukalia wateja!.!???

Mwendokasi kwa ajili ya maskini wewe umewafuata kwao
 
Leo asubuhi wakati nimepanda mwendokasi kuna mwamba mmoja nimekutana naye siyo mara ya kwanza mimi kumkuta kwenye gari, nadhani kama sijakosa itakuwa mara ya pili au tatu...
Tatizo ni dereva wa basi lenu kutokuwasha tv hivyo yeye akaona avunje ukimya ili msisinzie.
 
Unakuta basi zima ni washkaji zake ndo maana alikuwa anawahadithia kwa sauti wote wasikie na wote wamemuelewa sana mwamba kasoro wewe😁, kiufupi ulipanda mtumbwi wa vibwengo.
 
Alikuwa anafanya mazoezi ya utapeli
 
Umemshauri vizuri azikilize magazeti siyo kuja kutaka kusikiliza watu

Kama hujui 89:3 Ni rfa au radio asikilize nipashe 12:30 am au saa 1:3am asikilize wasafi fm na siyo kuja kuwasikiliza wafu wanaongeaa mambo yao
Hivi airpods unaweza kusikilizia redio?
 
Alikuwa anawasilisha ujumbe kwa Watanzania tuache kuzungumza masuala binafsi kwenye vyombo vya usafiri.
Huko alipo atakuwa anakushuru kwa kusaidia kufikisha ujumbe.
 
😂😂. Baadhi ya comments humu! Kweli kuna majibu tosha hapa JF. Huyo aliyeleta content naona hana hamu tena.
 
Na hili itabidi tulifanyie kazi.
Japo kuwa wahusika huwa ni washamba mentale
 
Hivi mtu ukijali mambo yako unapungukiwa nini?
 
kuna mortuary attendant mmoja siku tupo kwa mwendokasi akawa anampa maelezo mwenzie aliyepo kazini, na kwa maelezo inaonekana ni wa muhimbili.

akaanza:~ hao ndugu zake wamekuja?

anaitwa..... yupo fridge la tatu kulia ni mdada mweupe mzuri sana na mnene ingiza ndugu zake wamtambue umwandae au kama wapo tayari waandae wao nishampiga dawa ya kutosha hadi kesho watakapozika, wanasafirisha hao.


akaendelea:~ hapo kwenye kitanda kuna jamaa wawili huyo bonge dawa olikuwa haitoshi mwingize kwa hiyo fridge asije akaharibika. vp ac ndani lkn inafanya kazi vizuri? mimi naenda kimara mara moja sitachelewa narudi baada ya masaa mawili.

sasa kulikuwa na watu wakishangaa akiwepo mdada mmoja maana alikuwa anaongea kwa sauti ndipo akamgeukia yule dada na kusema kila mtu ana kazi yake siwezi kuanza kushindwa kuongea wakati natakiwa kutekeleza wajibu.

yani aliongea maneno hata mengi hata sikumbuki ila nilichokielewa kuwa kuna kazi ukifannya lazima uwehuke kidogo.
 
Hahahahahaha
 
Kwahy mkuu umeona bora uje kunisema huku lakini na wewe story zangu si zilikutia katika gari au 😁😁😁 alf unakuj huku unasem nmetia chumvi
 
Hapo wewe ndo mshamba sasa. Mimi madhani ungekomaa na suala la kupigiwa kelele. Kama anapiga mikelele hapo ameingilia utulivu wenu. Lakini, anachozungumza hakikuhusu,wala hupaswi kumpangia.
Kwanza huwazi kwa mapana. Unajuaje kama huyo jamaa yupo kazini?

Mind your own business ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…