YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kwani mihogo sio chakula? Unataka kila mtu awe anakula kande kama kwenu?Achana na wahuni wa jamiiforums hawa wanaojifanya wote wanamiliki magari.
Wengine makapuku tu wanaoshindia mihogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mihogo sio chakula? Unataka kila mtu awe anakula kande kama kwenu?Achana na wahuni wa jamiiforums hawa wanaojifanya wote wanamiliki magari.
Wengine makapuku tu wanaoshindia mihogo.
Acheni kupayuka kwenye mabasi, hakuna mtu anataka kusikia hizo stori zenu za kimasikini.Mswahili na mshamba ni huyo mleta mada kudakia yasiyomhusu na kuyaleta humu
Kwa nini upande basi lenye nauli za kimaskini ? Kodi taxiAcheni kupayuka kwenye mabasi, hakuna mtu anataka kusikia hizo stori zenu za kimasikini.
Hasa nyie WAHA wabishi afu wafupi kama ndulele.
Tatizo ni dereva wa basi lenu kutokuwasha tv hivyo yeye akaona avunje ukimya ili msisinzie.Leo asubuhi wakati nimepanda mwendokasi kuna mwamba mmoja nimekutana naye siyo mara ya kwanza mimi kumkuta kwenye gari, nadhani kama sijakosa itakuwa mara ya pili au tatu...
Alikuwa anafanya mazoezi ya utapeliLeo asubuhi wakati nimepanda mwendokasi kuna mwamba mmoja nimekutana naye siyo mara ya kwanza mimi kumkuta kwenye gari, nadhani kama sijakosa itakuwa mara ya pili au tatu.
Sasa huyu mwamba alikuwa akipiga stori na mtu aliyekuwa amesimama naye karibu, nadhani wanafahamiana, sasa huyo jamaa ninayemzungumzia hapa akawa ndio msemaji mkuu, yule mshkaji mwingine akawa anaitikia tu au kuchombeza kidogo kidogo.
Kwa kuwa asubuhi kulikuwa na utulivu na asilimia kubwa ya abiria tukawa tunawaza mishe zetu tunazoenda kuzifanya kwenye purukusani zetu, jamaa akawa anazungumza kwa sauti kubwa, siyo kubwa kiasi cha kukera, Hapana ila ilikuwa kubwa kiasi ambacho wote waliomzunguka ni kama wanamsikiliza yeye.
Jamaa akaanza kuwa anazungumza kuhusu maisha yake binafsi, mara yeye na mkewe mara majirani zake, mara fulani kafanya hivi na ningekuwa mimi ningefanya hivi.
Yaani kwa ufupi ni kama alikuwa anawasimulia watu ambao hata hawamjui kuhusu mambo yake binafsi, kibaya zaidi stori nyingine zikawa unaona kabisa hii ni uwongo ila anaongeza chumvi ili aonekane mwamba, ni ushamba tu.
Hii michongo ya kuzungumza mambo yetu binafsi Watanzania sijui tumeitoa wapi, yaani likitokea tukio kidogo tu mtu anadakia na kuanza kuelezea “Mimi ni hivi…” mara utasikia “Achana na hiyo, mimi yalinikuta…”
Wabongo tuache ushamba, kwani mtu hauwezi kuzungumza kwa sauti ya chini tu na ukasikika na huyo uliyenaye karibu yako, unaongeza sauti ili watu wakusikilize wewe ili iweje, tena wengine wanaenda mbali na kuzungumza kuhusu maisha yao binafsi kabisa na kuhisi ni sifa.
Hivi airpods unaweza kusikilizia redio?Umemshauri vizuri azikilize magazeti siyo kuja kutaka kusikiliza watu
Kama hujui 89:3 Ni rfa au radio asikilize nipashe 12:30 am au saa 1:3am asikilize wasafi fm na siyo kuja kuwasikiliza wafu wanaongeaa mambo yao
Alikuwa anawasilisha ujumbe kwa Watanzania tuache kuzungumza masuala binafsi kwenye vyombo vya usafiri.Leo asubuhi wakati nimepanda mwendokasi kuna mwamba mmoja nimekutana naye siyo mara ya kwanza mimi kumkuta kwenye gari, nadhani kama sijakosa itakuwa mara ya pili au tatu.
Sasa huyu mwamba alikuwa akipiga stori na mtu aliyekuwa amesimama naye karibu, nadhani wanafahamiana, sasa huyo jamaa ninayemzungumzia hapa akawa ndio msemaji mkuu, yule mshkaji mwingine akawa anaitikia tu au kuchombeza kidogo kidogo.
Kwa kuwa asubuhi kulikuwa na utulivu na asilimia kubwa ya abiria tukawa tunawaza mishe zetu tunazoenda kuzifanya kwenye purukusani zetu, jamaa akawa anazungumza kwa sauti kubwa, siyo kubwa kiasi cha kukera, Hapana ila ilikuwa kubwa kiasi ambacho wote waliomzunguka ni kama wanamsikiliza yeye.
Jamaa akaanza kuwa anazungumza kuhusu maisha yake binafsi, mara yeye na mkewe mara majirani zake, mara fulani kafanya hivi na ningekuwa mimi ningefanya hivi.
Yaani kwa ufupi ni kama alikuwa anawasimulia watu ambao hata hawamjui kuhusu mambo yake binafsi, kibaya zaidi stori nyingine zikawa unaona kabisa hii ni uwongo ila anaongeza chumvi ili aonekane mwamba, ni ushamba tu.
Hii michongo ya kuzungumza mambo yetu binafsi Watanzania sijui tumeitoa wapi, yaani likitokea tukio kidogo tu mtu anadakia na kuanza kuelezea “Mimi ni hivi…” mara utasikia “Achana na hiyo, mimi yalinikuta…”
Wabongo tuache ushamba, kwani mtu hauwezi kuzungumza kwa sauti ya chini tu na ukasikika na huyo uliyenaye karibu yako, unaongeza sauti ili watu wakusikilize wewe ili iweje, tena wengine wanaenda mbali na kuzungumza kuhusu maisha yao binafsi kabisa na kuhisi ni sifa.
Na hili itabidi tulifanyie kazi.Leo asubuhi wakati nimepanda mwendokasi kuna mwamba mmoja nimekutana naye siyo mara ya kwanza mimi kumkuta kwenye gari, nadhani kama sijakosa itakuwa mara ya pili au tatu.
Sasa huyu mwamba alikuwa akipiga stori na mtu aliyekuwa amesimama naye karibu, nadhani wanafahamiana, sasa huyo jamaa ninayemzungumzia hapa akawa ndio msemaji mkuu, yule mshkaji mwingine akawa anaitikia tu au kuchombeza kidogo kidogo.
Kwa kuwa asubuhi kulikuwa na utulivu na asilimia kubwa ya abiria tukawa tunawaza mishe zetu tunazoenda kuzifanya kwenye purukusani zetu, jamaa akawa anazungumza kwa sauti kubwa, siyo kubwa kiasi cha kukera, Hapana ila ilikuwa kubwa kiasi ambacho wote waliomzunguka ni kama wanamsikiliza yeye.
Jamaa akaanza kuwa anazungumza kuhusu maisha yake binafsi, mara yeye na mkewe mara majirani zake, mara fulani kafanya hivi na ningekuwa mimi ningefanya hivi.
Yaani kwa ufupi ni kama alikuwa anawasimulia watu ambao hata hawamjui kuhusu mambo yake binafsi, kibaya zaidi stori nyingine zikawa unaona kabisa hii ni uwongo ila anaongeza chumvi ili aonekane mwamba, ni ushamba tu.
Hii michongo ya kuzungumza mambo yetu binafsi Watanzania sijui tumeitoa wapi, yaani likitokea tukio kidogo tu mtu anadakia na kuanza kuelezea “Mimi ni hivi…” mara utasikia “Achana na hiyo, mimi yalinikuta…”
Wabongo tuache ushamba, kwani mtu hauwezi kuzungumza kwa sauti ya chini tu na ukasikika na huyo uliyenaye karibu yako, unaongeza sauti ili watu wakusikilize wewe ili iweje, tena wengine wanaenda mbali na kuzungumza kuhusu maisha yao binafsi kabisa na kuhisi ni sifa.
Hahahahahahakuna mortuary attendant mmoja siku tupo kwa mwendokasi akawa anampa maelezo mwenzie aliyepo kazini, na kwa maelezo inaonekana ni wa muhimbili.
akaanza:~ hao ndugu zake wamekuja?
anaitwa..... yupo fridge la tatu kulia ni mdada mweupe mzuri sana na mnene ingiza ndugu zake wamtambue umwandae au kama wapo tayari waandae wao nishampiga dawa ya kutosha hadi kesho watakapozika, wanasafirisha hao.
akaendelea:~ hapo kwenye kitanda kuna jamaa wawili huyo bonge dawa olikuwa haitoshi mwingize kwa hiyo fridge asije akaharibika. vp ac ndani lkn inafanya kazi vizuri? mimi naenda kimara mara moja sitachelewa narudi baada ya masaa mawili.
sasa kulikuwa na watu wakishangaa akiwepo mdada mmoja maana alikuwa anaongea kwa sauti ndipo akamgeukia yule dada na kusema kila mtu ana kazi yake siwezi kuanza kushindwa kuongea wakati natakiwa kutekeleza wajibu.
yani aliongea maneno hata mengi hata sikumbuki ila nilichokielewa kuwa kuna kazi ukifannya lazima uwehuke kidogo.
Kwahy mkuu umeona bora uje kunisema huku lakini na wewe story zangu si zilikutia katika gari au 😁😁😁 alf unakuj huku unasem nmetia chumviLeo asubuhi wakati nimepanda mwendokasi kuna mwamba mmoja nimekutana naye siyo mara ya kwanza mimi kumkuta kwenye gari, nadhani kama sijakosa itakuwa mara ya pili au tatu.
Sasa huyu mwamba alikuwa akipiga stori na mtu aliyekuwa amesimama naye karibu, nadhani wanafahamiana, sasa huyo jamaa ninayemzungumzia hapa akawa ndio msemaji mkuu, yule mshkaji mwingine akawa anaitikia tu au kuchombeza kidogo kidogo.
Kwa kuwa asubuhi kulikuwa na utulivu na asilimia kubwa ya abiria tukawa tunawaza mishe zetu tunazoenda kuzifanya kwenye purukusani zetu, jamaa akawa anazungumza kwa sauti kubwa, siyo kubwa kiasi cha kukera, Hapana ila ilikuwa kubwa kiasi ambacho wote waliomzunguka ni kama wanamsikiliza yeye.
Jamaa akaanza kuwa anazungumza kuhusu maisha yake binafsi, mara yeye na mkewe mara majirani zake, mara fulani kafanya hivi na ningekuwa mimi ningefanya hivi.
Yaani kwa ufupi ni kama alikuwa anawasimulia watu ambao hata hawamjui kuhusu mambo yake binafsi, kibaya zaidi stori nyingine zikawa unaona kabisa hii ni uwongo ila anaongeza chumvi ili aonekane mwamba, ni ushamba tu.
Hii michongo ya kuzungumza mambo yetu binafsi Watanzania sijui tumeitoa wapi, yaani likitokea tukio kidogo tu mtu anadakia na kuanza kuelezea “Mimi ni hivi…” mara utasikia “Achana na hiyo, mimi yalinikuta…”
Wabongo tuache ushamba, kwani mtu hauwezi kuzungumza kwa sauti ya chini tu na ukasikika na huyo uliyenaye karibu yako, unaongeza sauti ili watu wakusikilize wewe ili iweje, tena wengine wanaenda mbali na kuzungumza kuhusu maisha yao binafsi kabisa na kuhisi ni sifa.
Hapo wewe ndo mshamba sasa. Mimi madhani ungekomaa na suala la kupigiwa kelele. Kama anapiga mikelele hapo ameingilia utulivu wenu. Lakini, anachozungumza hakikuhusu,wala hupaswi kumpangia.Leo asubuhi wakati nimepanda mwendokasi kuna mwamba mmoja nimekutana naye siyo mara ya kwanza mimi kumkuta kwenye gari, nadhani kama sijakosa itakuwa mara ya pili au tatu.
Sasa huyu mwamba alikuwa akipiga stori na mtu aliyekuwa amesimama naye karibu, nadhani wanafahamiana, sasa huyo jamaa ninayemzungumzia hapa akawa ndio msemaji mkuu, yule mshkaji mwingine akawa anaitikia tu au kuchombeza kidogo kidogo.
Kwa kuwa asubuhi kulikuwa na utulivu na asilimia kubwa ya abiria tukawa tunawaza mishe zetu tunazoenda kuzifanya kwenye purukusani zetu, jamaa akawa anazungumza kwa sauti kubwa, siyo kubwa kiasi cha kukera, Hapana ila ilikuwa kubwa kiasi ambacho wote waliomzunguka ni kama wanamsikiliza yeye.
Jamaa akaanza kuwa anazungumza kuhusu maisha yake binafsi, mara yeye na mkewe mara majirani zake, mara fulani kafanya hivi na ningekuwa mimi ningefanya hivi.
Yaani kwa ufupi ni kama alikuwa anawasimulia watu ambao hata hawamjui kuhusu mambo yake binafsi, kibaya zaidi stori nyingine zikawa unaona kabisa hii ni uwongo ila anaongeza chumvi ili aonekane mwamba, ni ushamba tu.
Hii michongo ya kuzungumza mambo yetu binafsi Watanzania sijui tumeitoa wapi, yaani likitokea tukio kidogo tu mtu anadakia na kuanza kuelezea “Mimi ni hivi…” mara utasikia “Achana na hiyo, mimi yalinikuta…”
Wabongo tuache ushamba, kwani mtu hauwezi kuzungumza kwa sauti ya chini tu na ukasikika na huyo uliyenaye karibu yako, unaongeza sauti ili watu wakusikilize wewe ili iweje, tena wengine wanaenda mbali na kuzungumza kuhusu maisha yao binafsi kabisa na kuhisi ni sifa.
😂😂😂😂😂Asante sana. Full stop yaani kuna VICHWA vya ajabuSiku nyingine usipande mwendokasi....
Ungetumia gari yako usingesikia yote haya...