Huyu abiria wa Mwendokasi kanikera sana, Wabongo tutaacha lini hizi tabia za kueleza mambo binafsi kwenye "public"?

Kwani BOLT wamesitisha kutoa huduma za abiria wastaarabu wasiopenda ku-share na wapiga porojo wa mwendokasi!?
 
ushamba + kujiamini ni combination mbaya sana
 
Siku ukienda Mkuranga utafuta hii kauli dah ile jamii ya kule ukifika hata hamjuani mwenyeji anaweza kukusimulia mambo yake hayo mpaka ukakubali shoo
 
Unajua wana JF sijawahi kujua mnataka nini maana jamaa alivotiririka nikajua mutampa support kumbe yaliyomo yamo.
 

Ww mwenyewe mshamba maana ulichokiandika ni umbea tuu akuna cha maana yaaani unakaaa unasikiliza mambo ya watu then unatuletea humu
 
🤣🤣🤣 Nilisema mim wanaume wa Dar ni shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…