jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Tanzania wote ni ndugu naamini abiria wenzake walitamani jamaa aendelee kuongea tu, Tanzania nchi nzuri unaongea kwa uhuru ata kama mtu humjuiMwache mwamba atumie Uhuru wa kuzungumza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania wote ni ndugu naamini abiria wenzake walitamani jamaa aendelee kuongea tu, Tanzania nchi nzuri unaongea kwa uhuru ata kama mtu humjuiMwache mwamba atumie Uhuru wa kuzungumza
Numbi umenichekesha 😁😁😁Labda kaambiwa ndo dawa ya kuzuia kunuka mdomo.
Sasa mkuu angemwambia kwani nauli kamlipia yeye au gari ni lake kampa lifti huyo muongeaji?Msenge kweliii wee Sasa si ungemwambia palepale unatuletea huku tufany nn!
Ki saikolojia ni jambo zuri anatema nyongoLeo asubuhi wakati nimepanda mwendokasi kuna mwamba mmoja nimekutana naye siyo mara ya kwanza mimi kumkuta kwenye gari, nadhani kama sijakosa itakuwa mara ya pili au tatu.
Sasa huyu mwamba alikuwa akipiga stori na mtu aliyekuwa amesimama naye karibu, nadhani wanafahamiana, sasa huyo jamaa ninayemzungumzia hapa akawa ndio msemaji mkuu, yule mshkaji mwingine akawa anaitikia tu au kuchombeza kidogo kidogo.
Kwa kuwa asubuhi kulikuwa na utulivu na asilimia kubwa ya abiria tukawa tunawaza mishe zetu tunazoenda kuzifanya kwenye purukusani zetu, jamaa akawa anazungumza kwa sauti kubwa, siyo kubwa kiasi cha kukera, Hapana ila ilikuwa kubwa kiasia ambacho wote waliomzunguka ni kama wanamsikiliza yeye.
Jamaa akaanza kuwa anazungumza kuhusu maisha yake binafsi, mara yeye na mkewe mara majirani zake, mara fulani kafanya hivi na ningekuwa mimi ningefanya hivi…
Yaani kwa ufupi ni kama alikuwa anawasimulia watu ambao hata hawamjui kuhusu mambo yake binafsi, kibaya zaidi stori nyingine zikawa unaona kabisa hii ni uwongo ila anaongeza chumvi ili aonekane mwamba, ni ushamba tu.
Hii michongo ya kuzungumza mambo yetu binafsi Watanzania sijui tumeitoa wapi, yaani likitokea tukio kidogo tu mtu anadakia na kuanza kuelezea “Mimi ni hivi…” mara utasikia “Achana na hiyo, mimi yalinikuta…”
Wabongo tuache ushamba, kwani mtu hauwezi kuzungumza kwa sauti ya chini tu na ukasikika na huyo uliyenaye karibu yako, unaongeza sauti ili watu wakusikilize wewe ili iweje, tena wengine wanaenda mbali na kuzungumza kuhusu maisha yao binafsi kabisa na kuhisi ni sifa.
Huyo ana matatizo na wewe una matatizo pia mkuu
Hahhahaa. Kabisa mkuuHuyo ana matatizo na wewe una matatizo pia mkuu
Te te te te nimesoma comments zote nimeona za kawaida tu kwa kuwa imenionesha levo zao za ufikiri, ila hii imenifanya nicheke, asante sana kwa kunipa tabasamu. Nami nitapambana ninunue gari langu.Jf members wote tunamiliki magari yetu binafsi wewe ulitakiwa uwe mwanachama wa fb cause hauna gari
Ndio nimeingia Dar wiki iliyopita bwana mkubwa.Mleta mada utakuwa mshamba na Dar
Dar unatakiwa ku mind your own business.
Usipende kutega tega misikio yako kama bwege kusikiliza wengine wanaongea nini.
Kifupi wewe una masikio ya umbeya na midomo ya umbeya. kaa mbali na umbeya uwe wa mwendokasi au popote.
Watu wa kuja washamba wa vijijini huko mnatia aibu
Shida Dar kila mtu mjuaji,Wabongo tuache ushamba
Achana na wahuni wa jamiiforums hawa wanaojifanya wote wanamiliki magari.Nipo nasoma spana ninazopigwa, nasoma kwa umakini sana sana sana
Uko sahihi mtu anakerwa kwenye basi badala ya kutoka kwenye basi na hasira za kutafuta pesa anunue gari yake binafsi anatoka na hasira ya kilichomkera kwenye basiWacha kulalamika ,tafuta pesa ununue usafiri wako binafsi. Kama unaona mwendokasi jau ,ita uber ikupeleke unapokwenda uache kupangia watu maisha.
Mswahili na mshamba ni huyo mleta mada kudakia yasiyomhusu na kuyaleta humuPole Mkuu, inabidi uwazoee hawa waswahili ndivyo walivyo.
Ushamba ndio jadi yao.