Huyu Achraf Hakimi inatakiwa afanyiwe utafiti kabisa 🤣🤣🤣

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
22,269
Reaction score
58,563


Mwanamitindo wa Marekani, Kysre Gondrezick, anasema alipata ujauzito wa Achraf Hakimi wakati wa Kombe la Dunia wakati Morocco ilipokuja kucheza Houston.

Alifichua kuwa alimwambia Hakimi na yeye (Hakimi) akasema; "Mbinu yake ya kujitoa kabla ya kumaliza ilikuwa nzuri sana hivi kwamba alilinda lango lake bila kufungwa goli (Cleansheet)" Hivyo hakuna uwezekano kabisa kwamba anaweza kuwa na mimba yake.

Inasemekana Hakimi alimwambia kwamba kama anaamini mtoto huyo ni wake, atafute pesa kisha yeye atafanya kipimo cha DNA kwa sababu kwa sasa hana pesa na mama yake hatampa pesa yoyote tena mpaka mwaka ujao, 2027.

Kysre Gondrezick anasema alidhani Hakimi alikuwa tajiri sana lakini sasa anajihisi "Ametumiwa na Kutupwa."

Hakimi anastahili kufanyiwa utafiti!
 
binti kiziwi Naamini, somewhere, a research grant is waiting for whoever can explain how a person (like huyo bigmindsett) reaches this level of gullibility, inashangaza.

 
ok.
 
Ni upuuzi kuamini kwamba hii story ni kweli, kama ilivyokua upuuzi kuamini kwamba mkewe baada ya talaka hakupata mgawanyo wowote wa mali, mnahitaji kujifunza namna ya kuresearch na kufact -check taarifa.
Sisi hatujui kuhusu fact checiking tu naangalia fundisho hasa hasa.

Mwanamke ajae kwako kwa ajili ya pesa ni sawa na kunguni asubiriaye ulale aanze kukunyonya damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…