dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,753
- 18,781
Hbr za muda wakuu wangu ! ...ni kweli nimeadimika sana humu ndani ila tupo pamoja ni majukumu ya kitaifa na shughuli zangu binafsi vinanibana sana hadi kukosa muda wa kuja kuwatembelea na kuwa tia moyo kwa yale mnayo yapitia us individual au groups poleni san wanangu ama hakika Mungu yupo na atatuvusha tu
Dah nilete kisa sasa .....
Hapa katikatk kabla ya paska nilikuwa nilikuwa bar moja kubwa San hapa katika Jiji fln...... nikitulia zangu huku nikila bia zangu mbili tatu huku nimechilin zangu nasikiliza msiki wa bolinga Kali za ya fally ipupa ya may day Ngoma inayotamba sna kwa saa hv ktk bar nyingi lounge nyingi . Sina hili Wal lile wakaja watu wawili mmoja ke / me wakaketi mita Tano kutoka kwangu kwamba tunatazama mmoja anatumia bia mwingine anatumia grand malta
Basi wakawa wanakula bia na huku wanapiga story 2..3 .basi nikitoka zangu niendee toilet wakt nakaribia kumaliza akaingia yule mwanadada akanikuta nakojoaa akaniuliza mbna nakojoa kwenye choo Cha kike nikamuambia kuna mtu Huko Cha kiume sijui anakunya 😂 ila fresh wacha nimalizie nikupishe .chapu kwa haraka nikamaliza nikawa nanawa mikono huku nae nasikia akitiririsha mkojo kwa kas ya 4g .basi akamaliza akatoka akanikuta nanawa hapo ...eeh bado ujamaliza tu wala sijamjibu nikatoa Google pixel yangu nikamkabidhi naye bila kupoteza muda akaweka namba nikamuacha ananawa huko mm niko zangu nnje namsikiliziaa tuanze kuchati
Kweli nae alikuwa mbele ya muda sana kwani sijaka sawa naona msg hyo " mbna uko pekee ako !
Mm :Leo nimeamua tu kuchili mwenyewe
Yey : so umeamua kuja kuiba mademu za watu
Mm : hahah ....hattari sna
Mm : vip nan huyo mume wako au
Yeye: akaah ni mshikaji wangu wa zamani tu kanitoa out Leo
Mm : mko vxr sna Yuko very humble hana mambo mengi
Yeye :: huyu ana mambo mengi usimuone hvyo si unaona ana toka tok nnje kuongea na simu na mademu zake
Mm : hapana labda ana panga mikakti ya kaz tu uwez jua
Yey: mmh
Mm ' yey hatumi kilevi chochote au Leo tu
Yey : anatumia anasema Leo anaumwa
Mm : wee una kaa pande zipi hapa jjin
Akatoa location ambayo ni jirani kabsa na nilipo fikia
Mm : lini jmn na mm nikutoe out naona una mzukaa sna na uko very chaming sna nimekuelewa sana
Yey : tutapanga tu usihofu
Mm : sikukuu hii tusomane basi
Yey : fresh tu nikitoka job nitakuambia tukutane mida gani
Mm: Kwan unapiga kaz wapi
Yey :: mm ni askari
Mm : wee acha basi mban hufananii kbsa au unanizingua tu
Yeye : hata hyu nae ni askri sema ni wa j.....
MM : haufananii kbsa kama we ni police
Yey : watu wengi Huwa hawezi niamini kbsa
Mm: sas hata mm ntajuwaje kama kweli wee ni askari
Yeye : hahahah
Hapa naona bia zimeenza kumkoleaa anatoa Siri zote za kambi
Mm: nitumie picha ukiwa na sare niamini
Chapu tu huyu hapa katuma picha kweli akiwa ofisin na akatuma nyingine akiwa ameshika mtutu ,ndio nikaamin bila kutia shaka kuwa huyu ni askari wa kituo gani na anasimamia eneo gani ktk Jiji hili
Mm : nikamuuliza Leo kweli mshikaj wako atakuacha salama 😂
Yeye : hapati kitu Leo kwanza Niko mp hapati kitu
Mm : acha roho mbaya mpe sojer wetu show naona anakuhudumia vxr sna
Yey : hahaha hapati na kweli yey anajuwa kbsa kuwa anaenda kun...tomba Leo
Mm : msadie bhna kwa Leo usimteze kias hcho inaoneka kbsa Leo anataka show huyo
Tukaendeleq kuchati huku tukitumiana picha na viemoj za 💕 😘
Siku ikaisha hyo akondoka zake na mm nikasepa zangu
Kesho yake hapa katka Jiji hili kulikuwa na mvua kubwa sna
Nimetulia zangu ofcn nikaona video call hyo nikapokeaa mdada alikuwa chumbani kwake na kang Moko tu tukatia minye...g tu bas nikawa namuomba Leo aniachie showw kama vip au bado uko p akasema namalizia leo kesho tutapeana vzr San 😋😋
Cha kunishangaza Sasa picha na Video alizo zituma kwangu nikaona walakin fln kwani zote zina maudhui ya kufira.......na nikamuulizaa hii staihili waaweza nipeaa niliuliza kwa kumzuga tu nione atasemaje
Wala wakuu haukukataa aliishia kucheka tu na kusema jipangee vzr
Nilijawa na hofu sana nakubaki kujiuuliza hadi askari wanagawa Yas kweli siamini ila ngoja kesho kweny pambano langu nitajuwa kama yaliomo yapo .. ingawa mm binafsi siyo muhumini wa mtaandao huo ila bint ali kuwa mzuri wa sura wa kuvutiaa kweli kajaliwa kalio Yuko vzr kama siyo kuogopa Sheria za hapa hata picha zake nilizo zichukuwa akiwa mtupu ningeweka ila siwez atajulikana kirahis
Basi kesho yake kulikucha vzr na mida ya kukutana nae ukawadia na mm nikiwa eneo fln nikijiwake sawa na konyagi yangu nikisikiliziaa simu iitee mudaa ulitembee sna kiasi Cha kuanza kufikiri labda nisepe zangu ni tapeli huyu nikamcheki mida hyo akasema bado Yuko busy atanicheki akimaliza mambo yake bas nikaendelee kulambaa vitu nikijuwa kuwa Leo kaz ipo kaz ipooo
Wakuu nitaendelea baadae kuandika nachoka ila Leo lzm nimalizie habr hii hailali wacha nitoke kwa lunch first of all