Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Inapaswa afungiwe. Huu ni udhalilishaji sana. Si sawa hata kidogo. Aache uhuni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inapaswa afungiwe. Huu ni udhalilishaji sana. Si sawa hata kidogo. Aache uhuni.
View attachment 3094459
Huo ni udhalilishajiSasa hapa ni kama amepalilia ile kauli ya Haji Manara kuwa Utopoloni wenye akili ni wawili 😀
Naona unajichekesha huku ukiwa na hasira 😛Ahmed Ally anajiaibisha mwenyewe na Ukolo wake
Makolo wamejaa pumba tu sikuhizi, kufungwa wao, kugombana wao, kuzozana wao
5imba bhana 🤣🤣🤣🤣
Jamaa katupa jiwe gizani.Amekudhalilisha wewe labda mimi sijaona Yanga hapo
Unaandikaa huku unaliaa na kamasi zinavujaaa, poleeeeee wee.Ahmed Ally anajiaibisha mwenyewe na Ukolo wake
Makolo wamejaa pumba tu sikuhizi, kufungwa wao, kugombana wao, kuzozana wao
5imba bhana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabisa😂hata huo uwazi kichwani unatakiwa usiwepo.
Sasa nilie mimi au mlie ninyi wana 5imba? 🤣🤣🤣Unaandikaa huku unaliaa na kamasi zinavujaaa, poleeeeee wee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hasira niwe nayo mimi Mfalme wa Makombe muache kuwa nayo ninyi 5imba? 🤣🤣🤣Naona unajichekesha huku ukiwa na hasira 😛