Huyu Ahmed Ally amezidi sana kutudhalilisha sisi Yanga

Sasa hasira niwe nayo mimi Mfalme wa Makombe muache kuwa nayo ninyi 5imba? 🤣🤣🤣

Mnajidai kusahau sana eeh....we Kolo
Uliona mtu alivyokuwa amelipuka kwenye press?
 
YANGA idara ya HABARI ni ujinga mtupu...
MANARA pamoja na mapungufu yake asingfanya vichekesho hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…