hapa unajisifu kinyago umekichonga mwenyew,maana yake ni kuwa ni ujinga mlioutuma wenyew anaoufanya sasa iv ambao miaka minne uliojiliza huko juu hukuwa unauona!! waswahili,wabongo..Kinyago tukichonge wenyewe halafu kitutishe kweli? Mwambieni kwanza atafute TIN
mbona unaumizwa na vitu vidogohapa unajisifu kinyago umekichonga mwenyew,maana yake ni kuwa ni ujinga mlioutuma wenyew anaoufanya sasa iv ambao miaka minne uliojiliza huko juu hukuwa unauona!! waswahili,wabongo..
hapa unajisifu kinyago umekichonga mwenyew,maana yake ni kuwa ni ujinga mlioutuma wenyew anaoufanya sasa iv ambao miaka minne uliojiliza huko juu hukuwa unauona!! waswahili,wabongo..
mbona unaumizwa na vitu vidogo
Alichokisema ni ukweli, Manara hana sifa ya kuwa Afisa Habari kwakua si taaluma yake kama ilivyo kwa hao wawili wengine.Manara ana uzoefu mkubwa wa kusema kwenye media.
Huyu Ahmed Ally asije akajutia huko mbele kama Manara wakimruhusu na yy aendelee kuongea
Na Manara huwa hana uchaguzi wa silaha kwenye vita ya maneno, anaweza akakupiga na kitu chenye ncha kali kichwani na ukafa hapo hapo
Ona na ww ulivyo mbumbumbu, Talent ya Manara ni kuongea na ndio maana anaajiriwa kama Msemaji na sio Afisa Habari ila Ethics za Media officer anazijua ni vile hajafanya kazi kwenye TV and RadioAlichokisema ni ukweli, Manara hana sifa ya kuwa Afisa Habari kwakua si taaluma yake kama ilivyo kwa hao wawili wengine.
Kutokana na uwezo wake wa kuongea na kuchamba si vibaya kumweka kwenye group la wahamasishaji kama alivyodai Ahmed Ally
Kuna haja ya kunitusi kabla ya kutoa naomi yako?Ona na ww ulivyo mbumbumbu, Talent ya Manara ni kuongea na ndio maana anaajiriwa kama Msemaji na sio Afisa Habari ila Ethics za Media officer anazijua ni vile hajafanya kazi kwenye TV and Radio
Hata Ahmed Ally anajua ukitaka umaarufu wa haraka ni lazima Umzungumzie Haji S Manara na ndio maana amejiariwa hata wiki haijaisha katupa vichambo vyake kwa Manara kama mara 100 hv, na Manara hata hajamjibu chochote coz anajua mtt mdg anataka mbeleko ya umaarufu
Tatizo unaongea sana mkuu halafu point haionekani huyo Ahmed Ally interview nzima anatupa vijembe kwa Manara, kwahyo huoni kama ameanza kutafuta upepo wa kupitia kwa ManaraKuna haja ya kunitusi kabla ya kutoa naomi yako?
Ukisikiliza hiyo interview hakuna sehemu yoyote Ahmed Ally kamkashifu huyo mume wenu, alichokisema ni kamba si sahihi kumuita Manara afsa habari bali aitwe mhamasishaji. Sasa kama wewe unaona Ahmed alikosea unatakiwa utueleze ni lini Manara amekuwa na sifa ya kuitwa Afsa habari (kumbuka cheo cha Ahmedy Ally pale Simba ni zaidi ya usemaji yaani Spokes man)
Au tueleze hapa ni Lino Manara amekuwa Afsa habari hapo Yanga , maana nijuavyo mimi Bumbuli ndio top pale hiyo manara (mume wako) ni mropokaji tu na mchangamshaji aliyepenyezwa pale kwa msaada wa GSM.
Hujasikia tangazo la jana,kama hujalipa 29000 za GSM hurusiwi kuchatiHua najiuliza hivi ile mishabiki ya simba inayo ingiaga na midoli ya kitoto ya 'NDEGE' uwanjani pale taifa na viwanja vingine alafu eti wanakua wanaonyesha jinsi ndege inapaa angani, hawa watu hua hamnazo? ndio kushangilia gani huko? au ndio msukuleization inafanya kazi? Wakati watu wanashangilia wanaimba nyimbo za timu yao mawatu mengine yamebebelea midoli ya ndege za kuchezea watoto
Ahmed kasema Manara hapasiwi kuitwa Afda habari, kama unahisi kakosea wewe ndo utuambie hapa tangu lini ni Afsa habari?? Kama si Afsa habari basi Ahmed hakukosea.Tatizo unaongea sana mkuu halafu point haionekani huyo Ahmed Ally interview nzima anatupa vijembe kwa Manara, kwahyo huoni kama ameanza kutafuta upepo wa kupitia kwa Manara
Manara kazi zake zipo wazi kwa kila mtu na anajulikana vzr wala hatuhitaji mjadala juu ya hilo
Sisi hatuna shida na kijana wa Bumbuli, nyie ndo mnamjaza upepo.Mnamchokoza tu manara
Kwani maana ya Afisa habari ni nini?Ahmed kasema Manara hapasiwi kuitwa Afda habari, kama unahisi kakosea wewe ndo utuambie hapa tangu lini ni Afsa habari?? Kama si Afsa habari basi Ahmed hakukosea.
Ohoo naona unalazimisha kalio lako kutafuna muwa na wakati sio kazi lilioumbiwa.Kwani maana ya Afisa habari ni nini?
Tuanze hapo kwanza Nisije nikaanza kuargue na mtu asiye jua kitu
Oooosh! Niko na argue na mtu asiye elewa na wala kujua chochoteOhoo naona unalazimisha kalio lako kutafuna muwa na wakati sio kazi lilioumbiwa.
Manara alisomea wapi hio uafisa habari? Au mtu akijua kuongea tu kama Manara tayari anakuwa na sifa za uafisa habari?? Basi hii Tz tunao wengi sana.
Umefanya uamuzi sahihi.Oooosh! Niko na argue na mtu asiye elewa na wala kujua chochote
Niko nje ya huu mjadala