Huyu aliyemshonea Rais wetu hii kanzu anastahili pongezi kubwa sana

Mkuu anafanya kazi, anatakiwa awe na mtu smart wakumdesignia nguo, mbona Trump mzee lakini anavaa vizuri jamani why yeye? Wasaidizi mnamuangusha mkuu kwa kweli yeye ni nembo ya nchi so let's not allow it to happen again
 
Huyu mbunifu ambaye amemshonea Raisi John Pombe Magufuli hii kanzu anastahili pongezi kubwa sana!
View attachment 528755
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23][emoji2][emoji23][emoji16][emoji3][emoji16][emoji2][emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji23][emoji2] [emoji23][emoji23][emoji16]
 
Huyu mbunifu ambaye amemshonea Raisi John Pombe Magufuli hii kanzu anastahili pongezi kubwa sana!
View attachment 528755
Tatizo umeshindwa kutofautisha kati ya kanzu ya kihaya na kiislamu.
Kwa kiislamu hiyo kanzu ndio mwake kabisa,akitokea mwanamke ambaye si haramu kwako kumuoa unamsalimia kwa kufunika kiganja na mkono wa kanzu ili asikutengue.Ndio maana wanaojua kanzu wamekaa kimya
Kanzu sio sawa na suti kamanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…