Huyu aliyemshonea Rais wetu hii kanzu anastahili pongezi kubwa sana

Bahati??

Bahati kukaa na hako kajamaa?

Labda nyie msiojielewa ndo mnaona bahati

Kipindi cha Mh kikwete kweli nilikuwa nikialikwa naenda kwa moyo mkunjufu lakini kwa huyo jamaa aisee siwezi kabisa yaani
Huna lolote mtu mwenyewe upo huko nanyumbu porini akualike nani!!??[emoji57]
 
Rais wetu kipenzi sio mbaguzi wa dini kabisa. Huyu ndie Rais kwa kweli.
 
Mbona unapaniki kwa kumpongeza huyu mbunifu wa Raisi imekuwa kosa?
 
Huyu mmbunifu anatakiwa kupewa tunzo bora.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23][emoji2][emoji23][emoji16][emoji3][emoji16][emoji2][emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji23][emoji2] [emoji23][emoji23][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…