Huyu amani kwa Kaka Voda milionea ndo nani? Huko Dar es Salaam

Huyu amani kwa Kaka Voda milionea ndo nani? Huko Dar es Salaam

Amani kwako kaka voda milionea mwambie mdogo ako aache poda atumie mmea...
Inasemekana huyo Voda milionea alikua kaka wa kitaa wa washkaji Langa na Jaymo. Sasa baada ya tetesi Langa anakula unga ndo Jaymo akaandika huo mstari kwenye ngoma yake kumtaka Voda milionea amwambie Langa aachane na poda (unga) atumie mmea (bangi). Lkn Langa naye akamjibu Jaymo "heshima kwako kaka Voda milionea mwambie mdogo ako aache ushoga na umbea [emoji3].
Huyo jamaa mwenye kuitwa Voda milionea kuna story alikua anafanya kazi shirika la Vodacom miaka ile matangazo ya Voda milionea yalikua mengi jamaa alikua anatupia sana tisheti za matangazo ya Voda milionea ndo wakampa hilo jina.
Sina hakika kama nimepatia, nakaribisha kukosolewa

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Ya jay mo sikuwahi kuiskia,ila hiyo ya langa nilipata kuisikia.....kwenye msiba wa ngwear mchizi mox aliwahi kusikika akilaumu kuwa huyu kaka voda alichapisha tisheti za maombolezo bila idhini ya wana familia ya marehemu ngwear akawa anaziuza.
 
huko ndio kwao na kina babuu wa kitaa?.....kuna wimbo wake amepataja niliusikia zamani.
Yap yap yani ambae bado huwa namuona ona mitaa ile nikienda kutembea ni babuu tu

Kuna wimbo mmoja wa dis la polis matusi matupu humo enzi zile Bills tunapanda nalo(Nilikua Chawa wa King'oko😂😂)
 
Yap yap yani ambae bado huwa namuona ona mitaa ile nikienda kutembea ni babuu tu

Kuna wimbo mmoja wa dis la polis matusi matupu humo enzi zile Bills tunapanda nalo(Nilikua Chawa wa King'oko[emoji23][emoji23])
enzi za Billicanas...siku hizi club za mziki kama zumekufa hivi
 
Ya jay mo sikuwahi kuiskia,ila hiyo ya langa nilipata kuisikia.....kwenye msiba wa ngwear mchizi mox aliwahi kusikika akilaumu kuwa huyu kaka voda alichapisha tisheti za maombolezo bila idhini ya wana familia ya marehemu ngwear akawa anaziuza.
1.Ngoma ya Jaymo inaitwa "Jipange"
2. Ngoma ya Langa inaitwa Gangster
3.Pia Langa baadae alikuja kutoa ngoma nyingine inaitwa "Kifo, Jela, Taasisi", kwenye hiyo ngoma Langa ameandika tena... Amani kwako kaka Voda milionea, mwambie Mo situmii tena poda wala sili mmea.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
interesting, kumbe kila mstari una maana kwenye nyimbo za hawa jamaa
 
ukiona wana hihop wana mtaja taja mtu ujue ndo anawapa stimu..hua namsikia pia someone kapachino(sina uhakika kama jina nimelipatia)
 
1.Ngoma ya Jaymo inaitwa "Jipange"
2. Ngoma ya Langa inaitwa Gangster
3.Pia Langa baadae alikuja kutoa ngoma nyingine inaitwa "Kifo, Jela, Taasisi", kwenye hiyo ngoma Langa ameandika tena... Amani kwako kaka Voda milionea, mwambie Mo situmii tena poda wala sili mmea.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
RIP Langa
 
sawa...mkuu nimekupata vyema,langa na jay mo nilikuwa na waelewa sana.
 
Back
Top Bottom