kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Pusha maalufu sana Dar.ukiona wana hihop wana mtaja taja mtu ujue ndo anawapa stimu..hua namsikia pia someone kapachino(sina uhakika kama jina nimelipatia)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pusha maalufu sana Dar.ukiona wana hihop wana mtaja taja mtu ujue ndo anawapa stimu..hua namsikia pia someone kapachino(sina uhakika kama jina nimelipatia)
Babuu hakudumu sana kwenye game alikuwa na miondoko ya hiphop za kigumu kama sura yake.....kwenye kimbia aliua pamoja na langa.Yap yap yani ambae bado huwa namuona ona mitaa ile nikienda kutembea ni babuu tu
Kuna wimbo mmoja wa dis la polis matusi matupu humo enzi zile Bills tunapanda nalo(Nilikua Chawa wa King'oko😂😂)
lakini jamaa mistari yake ilifanana sana na maisha yetu ya uswazi alikuwa hiphop kweli.wakishua haswa
Wanaume wa dar wanajadili umbeya
enzi za Billicanas...siku hizi club za mziki kama zumekufa hivi
amani mwenyewe anasemaje
Mrangi lazima utakuwa unamjua Kaka voda milionea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtoto wa mjini wewe kino klain na migo migo
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Una uhakika Ni yeyeAlietajwa hapo ni Kelvin Twissa
naskia langa naye alikuwa mtoto wa kishua aliyepinda,kuna ukweli?
sawa mkuu.Mama ake alikua Mbunge viti maalum CHADEMA
Hahah hahahMrangi lazima utakuwa unamjua Kaka voda milionea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtoto wa mjini wewe kino klain na migo migo
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Miraji alikuwa anakuja sana block41 kna wakati fulani alikuw na issue fulani alikaa sana block 41,na mwanae sana block41 alikuwa mwana mmja anaitwa chisyap!! pina alikuwa na beef na kingoko pia nadhani miraji aliondoka kikosi akaenda kingo'oko kwa watoto wenzake wa kishua
Babu si alikuwa anakaa nyuma nyuma ya tmjhuko ndio kwao na kina babuu wa kitaa?.....kuna wimbo wake amepataja niliusikia zamani.
Hivi dagma yule wa 120 yupoYa jay mo sikuwahi kuiskia,ila hiyo ya langa nilipata kuisikia.....kwenye msiba wa ngwear mchizi mox aliwahi kusikika akilaumu kuwa huyu kaka voda alichapisha tisheti za maombolezo bila idhini ya wana familia ya marehemu ngwear akawa anaziuza.
Wakina kileo wale wako vizuri sanaNdio kuna ukweli
Ngwair alikuwa anapenda sana kmtaja mwana mmja anaitwa capadonaukiona wana hihop wana mtaja taja mtu ujue ndo anawapa stimu..hua namsikia pia someone kapachino(sina uhakika kama jina nimelipatia)
Alikuwa diwani wa Chadema siyo Mbunge.Mama ake alikua Mbunge viti maalum CHADEMA
hahahaha enzi hizo hamna smartphoneMiraji alikuwa anakuja sana block41 kna wakati fulani alikuw na issue fulani alikaa sana block 41,na mwanae sana block41 alikuwa mwana mmja anaitwa chis
Badaye akajuana na pina si unajua pina alikuwa anapenda sana watimbilisha watoto wa kishua,
Alafu tukienda knyama kulikuwa na maskani sasa ya kna jaymo, mox na watoto wa huko ya graveyard ....aise maisha ya kitambo syo kama sasa
Ova
sifahamu.Hivi dagma yule wa 120 yupo
Ova
sawa sawa.Babu si alikuwa anakaa nyuma nyuma ya tmj
Sema alikuwa anajisogeza kwa watoto wa regent
Sema pale uwanjani wakikutana walikuwa kama mixer wote watoto wa mikochen na regent
Ova