Huyu amani kwa Kaka Voda milionea ndo nani? Huko Dar es Salaam

Ya jay mo sikuwahi kuiskia,ila hiyo ya langa nilipata kuisikia.....kwenye msiba wa ngwear mchizi mox aliwahi kusikika akilaumu kuwa huyu kaka voda alichapisha tisheti za maombolezo bila idhini ya wana familia ya marehemu ngwear akawa anaziuza.
 
huko ndio kwao na kina babuu wa kitaa?.....kuna wimbo wake amepataja niliusikia zamani.
Yap yap yani ambae bado huwa namuona ona mitaa ile nikienda kutembea ni babuu tu

Kuna wimbo mmoja wa dis la polis matusi matupu humo enzi zile Bills tunapanda nalo(Nilikua Chawa wa King'oko😂😂)
 
Yap yap yani ambae bado huwa namuona ona mitaa ile nikienda kutembea ni babuu tu

Kuna wimbo mmoja wa dis la polis matusi matupu humo enzi zile Bills tunapanda nalo(Nilikua Chawa wa King'oko[emoji23][emoji23])
enzi za Billicanas...siku hizi club za mziki kama zumekufa hivi
 
Ya jay mo sikuwahi kuiskia,ila hiyo ya langa nilipata kuisikia.....kwenye msiba wa ngwear mchizi mox aliwahi kusikika akilaumu kuwa huyu kaka voda alichapisha tisheti za maombolezo bila idhini ya wana familia ya marehemu ngwear akawa anaziuza.
1.Ngoma ya Jaymo inaitwa "Jipange"
2. Ngoma ya Langa inaitwa Gangster
3.Pia Langa baadae alikuja kutoa ngoma nyingine inaitwa "Kifo, Jela, Taasisi", kwenye hiyo ngoma Langa ameandika tena... Amani kwako kaka Voda milionea, mwambie Mo situmii tena poda wala sili mmea.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
interesting, kumbe kila mstari una maana kwenye nyimbo za hawa jamaa
 
ukiona wana hihop wana mtaja taja mtu ujue ndo anawapa stimu..hua namsikia pia someone kapachino(sina uhakika kama jina nimelipatia)
 
RIP Langa
 
sawa...mkuu nimekupata vyema,langa na jay mo nilikuwa na waelewa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…