Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 137
- 219
Hivi unajua kwamba mamlaka ya mapato wanaweza kukuongezea Kodi?
Kitaalamu hii inaitwa Tax Jeopardy.
Kuna sababu kadhaa zinazoweza kupelekea ukafanyiwa Tax Jeopardy mfano;
1. Unashindwa kujifanyia self assessment.
Hapa mamlaka ya mapato wanaamua kukukadiria wao wenyewe.
2. Unachelewa sana ku file taxes
Kila tax Ina deadline yake, unaposhindwa ku file taxes zako kabla ya deadline mara nyingi, wanaona wakukadirie wao, and trust me hautapenda.
3. Unataka kufunga Biashara gafla, hapa mamlaka ya mapato wanapata mandate ya kukufanyia makadirio ya Kodi. Na mara nyingi hua kubwa.
4. Una tabia ya kuficha documents muhimu kama Profit and loss statement, Bank statement, Importation files, Local purchases statement, au receipts.
Hapa ni dhahiri kua kuna mambo unaficha na unaibia nchi mapato, kwahiyo wanakufanyia tax Jeopardy.
5. Repatriation of profits.
Hii sasa ni kwa Kampuni za kigeni, sitaongelea sana hapa.
Hey naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara, Kampuni, trademarks, patents, na leseni.
Kama unahitaji consultation zaidi kuhusu mambo ya Taxes na usajili wa Kampuni unaweza kunitumia ujumbe WhatsApp kupitia namba hizi
0678131068
Your Favorite Lawyer.