Acha afuatiliwe kwani yeye nani kwenye nchi hii?Teknolojia ni kali.Saa yake na kofia .View attachment 3613000View attachment 3613001
Wewe hujatekwa tu?Watekaji mnakimbilia kujibu
Muda wenu hauko mbaliWewe hujatekwa tu?
Vipi wako uko mbali au?Muda wenu hauko mbali
Hahahaha....! Heche mwenyewe nasikia yuko upande uleeee!!Haya mambo sio yakuchukulia kwa mzaha, hawa wahuni imeshaonekana wanafanya kazi ya kuua kwa kujiamini kwasababu wanafahamu watalindwa na mamlaka.
Heche awe makini sana, aongeze ulinzi wake binafsi, kuonesha kujiamini kwa kauli pekee bila matendo hakutoshi, hawachelewi kumuumiza au kumpoteza kabisa kisha tuanze kulia bila kusikilizwa.
Huna akiliVipi wako uko mbali au?
Sina akili ni na nini kichwani mwangu bibi?Huna akili
Matope matupuSina akili ni na nini kichwani mwangu bibi?
Akili za kimalaya hizo bibi.Matope matupu
Hoja ya usalama wa viongozi wa kisiasa na watu wenye ushawishi katika jamii inapaswa kuchukuliwa kwa uzito. Ikiwa kuna viashiria au hofu za vitisho, ni muhimu wahusika kuchukua tahadhari zinazostahili na vyombo vya ulinzi na usalama kufanya kazi yake kwa weledi na bila upendeleo. Hata hivyo, ni vyema kuepuka hitimisho kuhusu nani anahusika bila ushahidi au uchunguzi rasmi. Kinachohitajika ni mazingira ambayo kila mtu anajisikia salama na sheria inalinda haki za wote kwa usawa.Haya mambo sio yakuchukulia kwa mzaha, hawa wahuni imeshaonekana wanafanya kazi ya kuua kwa kujiamini kwasababu wanafahamu watalindwa na mamlaka.
Heche awe makini sana, aongeze ulinzi wake binafsi, kuonesha kujiamini kwa kauli pekee bila matendo hakutoshi, hawachelewi kumuumiza au kumpoteza kabisa kisha tuanze kulia bila kusikilizwa.
Nimekusoma vzuri ila ulipogusia "vyombo vya ulinzi na usalama" ndio ukaharibu.Hoja ya usalama wa viongozi wa kisiasa na watu wenye ushawishi katika jamii inapaswa kuchukuliwa kwa uzito. Ikiwa kuna viashiria au hofu za vitisho, ni muhimu wahusika kuchukua tahadhari zinazostahili na vyombo vya ulinzi na usalama kufanya kazi yake kwa weledi na bila upendeleo. Hata hivyo, ni vyema kuepuka hitimisho kuhusu nani anahusika bila ushahidi au uchunguzi rasmi. Kinachohitajika ni mazingira ambayo kila mtu anajisikia salama na sheria inalinda haki za wote kwa usawa.
Tumia akili zako, usiishie kusikia tu. Masikio husikia vingi hata kelele za wadudu.Hahahaha....! Heche mwenyewe nasikia yuko upande uleeee!!